Lyrics

Azwa nga bomwana, kumama papa eeh Eeh Yahweh kumama papa eeh Kisi ya soni, kumama papa eeh Eeh Yahweh kumama papa eeh Moyo wangu wakupenda we wajua Moyo wangu wakuinua tazama Kwa kinywa changu nakusifu Baba yangu Upendo wangu mi nakupa Baba Umeiweza roho yangu Yesu umeiweza Umeiweza roho yangu Yesu umeniweza Umeiweza roho yangu Yesu umeiweza Umeiweza roho yangu Yesu umeniweza Tumeuona, mkono wako Bwana Matendo yako Baba ni makuu mno Umetutoa mbali Ukatushika mkono Mahali uliona pekee hatuwezi Chini hata juu Watu unawainua Sifa na utukufu ni zako milele Twasifu jina lako Milele tutakusifu Daima we umwema tutaishi kwako
Writer(s): Bridget Blue Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out