Lyrics

Yo, tano nane Kwani ni kesho? Si kesho Tunatake over Nairobi mzima East, West, mpaka CBD (Uh-huh, uh-huh) Hii ndio mbogi imeivisha drill, 254 tunachafua scene Si ndio the trend, NTV, kwa hii game si ndio ma MVP Na ka kuna msee anabishana, akam hizi sides atry kuresist Tunatake over Nairobi mzima East, West, mpaka CBD (Uh-huh, uh-huh) Hii ndio mbogi imeivisha drill, 254 tunachafua scene Si ndio the trend, NTV, kwa hii game si ndio ma MVP Na ka kuna msee anabishana, akam hizi sides atry kuresist Kwa wale hawanirecognise, uh, mi ni big boy uno Kwa hizi sides bado unakangwa hata ka umeivisha judo Manambling tunawaround, ni ka tunacheza Ludo Mresh wako anaslide DM, ah, sina time ya makuro Bro wangu alipurura stock, pia mi nikabaki nimefinesse plug Hawa mariza wanaona wanaeza do juu wamepiga marags Itabaki tutoke kwa ground, tuache kuitwa malocal thugs Mahater kwendeni huko, si hufanya kitu juu ya mafans (kwenda!) Tuko on top juu ya KICC, maops sere mzima tunawaping Ki-PUBG au COD, battle royale kwa hizi streets We ready to risk, hatutajibali, hatuna pupa, hatuhang na Fally We jua hii gang ni kali, inapendwa na madem wa geti kali Tuko strap na makoro in case hawa manambling wajigas wanadai smoke Tuko strap na makoro in case hawa manambling wajigas wanadai smoke Maziwa zetu ziko freshi ndenu, we uko na ndegi zenu imbo (kwendeni) Utasurvive aje kwa jungle, man, na hautafuti doh (Yo, yo) Tunatake over Nairobi mzima East, West, mpaka CBD (Uh-huh, uh-huh) Hii ndio mbogi imeivisha drill, 254 tunachafua scene Si ndio the trend, NTV, kwa hii game si ndio ma MVP Na ka kuna msee anabishana Akam hizi sides atry kuresist (akam, akam) Tunatake over Nairobi mzima East, West, mpaka CBD (Uh-huh, uh-huh) Hii ndio mbogi imeivisha drill, 254 tunachafua scene Si ndio the trend, NTV, kwa hii game si ndio ma MVP Na ka kuna msee anabishana, akam hizi sides atry kuresist Magoon wameivisha drill, 254 si manamba uno Unaeza uliza namba uno Mi nadai cash, doh, gwap, hadi maeuros T Bop kiunknown T, man, I got gyally on me Kwa kichwa nina maalphabet, ABCD Stay tuned kwa hii TV, na team inashut down CBD Na marapper wako weak kwa streets, hamkudungwa BCG Stay tuned kwa hii TV, na team inashut down CBD Na marapper wako weak kwa streets, hamkudungwa BCG Uh, niko jo kwa scene, mikono zinarushwa right and left Kwa street usibebwe ufala, go hard ka chain ya BMX Big boys tunaenda viral, breaking news kwa CNN Na ukileta ujinga kwa mbogi, unapigwa X Mabro this life is crazy, and welcome to the city of sex Hawa wasee wamecarry maknives, skengs, hmm, for defense (bow) Juu gang yu hukuwanga safi usitutempt, no offense Na ukileta ujinga kwa mbogi, unapigwa X
Writer(s): Alvin Handro, Jayson Okanda, Malvin Kamwaro Irungu Nganga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out