Lyrics

Look around brother Master! Ghetto Gospel (Yes!) Keeping the good music alive! Kanipa maarifa loloo (nampa sifa) Yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa) Kaziba nyufa loloo (nampa sifa) Olooh! (Mfalmee!) Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa Ikajipa sifa, kaziba nyufa Namwiita ye Mfalmeee Mfaaalmeee Holla at ya boy! Sinung'uniki sina viatu Wenzangu hawana miguu Hawalalamiki wanamshukuru Aliyejuu Siwezi nikamletea makuu maombi ya kibraza du Mbwembwe za kuomba magari nawaachia son I'm Cool Kama kipande cha kwanza cha mbao kwenye Safina Mimi ni kitu cha Mungu nafanya alichonituma Kanipa ubongo na misuli na roho ya kitajili Sina kitu ila sina roho mbaya Tunaishi vizuri Fukara nayeshukuru au tajiri nisiyekufuru Najua bata najua hustle mi ni njiwa na kunguru Kuna vingi vya kumuomba Mungu kabla Hujamuomba utajiri Naishi kwa mapenzi yake hakuna kitu naona Hatari Unapata ulichoandikiwa Mungu hakupi kama Hataki Hata ukipora itapotea ili mradi yatimie Maandishi Mi ndo vito wa kolioni vitu vinaisha my way Nife nikiwa muumini na everything gon' be I Man Kanipa maarifa loloo (nampa sifa) Yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa) Kaziba nyufa loloo (nampa sifa) Olooh! (Mfalmee!) Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa Ikajipa sifa, kaziba nyufa Namwiita ye Mfalmeee Mfalmeee Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa Ikajipa sifa, kaziba nyufa Namwiita ye Mfalmeee Mfalmeee Najua anamipango, anafungua milango Ndo anatoa michongo, namwita Mfalme Wa Jungle Boss wa dunia yangu kanipa nguvu na ubongo Mwenye maamuzi ya mwisho angetaka Angeniumba fungo Mafala wana midomo ka vicheche usiwe kati yao Wanaosema wenzao rudi angalia maisha yao Wengine hawana hata kalaki wanaita wenzao Maskini Haki nawaombea mabaya kama wanavyoniombea Mimi Ni hata mtoa wa roho ni malaika, na nahisi Ataenda peponi Achia kuhukumu sio kazi yako, we ni mwenzangu Na mimi Na una dhambi kama mimi, na hatujui kubwa za Nani Labda zako labda zangu, sio kazi yetu ni ya Maanani Usiniwaze sana mi nawaza maisha yangu Sina hata mia ya urithi vyote hivi ni vya kwangu Nshaenda shule bila viatu, nshatoa funza kama Buku Na ipo siku utaniheshimu ama utaheshimu hela Zangu Kanipa maarifa loloo (nampa sifa) Yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa) Kaziba nyufa loloo (nampa sifa) Olooh! (Mfalmee!) Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa Ikajipa sifa, kaziba nyufa Namwiita ye Mfalmeee Mfalmeee Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa Ikajipa sifa, kaziba nyufa Namwiita ye Mfalmeee Mfalmeee Kanipa maarifa loloo (nampa sifa) Yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa) Kaziba nyufa loloo (nampa sifa) Olooh! (Mfalmee!)
Writer(s): Hamis Mohamed Mwinjuma Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out