Lyrics

1 Ninayo hamu kurudi nyumbani Nyumbani kwetu ambako hatutatengana Hapo nyumbani kwetu hakuna makaburi Wala hakuna vyandarua maana hakuna maralia Kwetu pazur ni pazur nakuapia Najua nawe ndugu yangu unayo hamu kufika huko () Kwetu pazuri nimeshapakumbuka Ninayo hamu kuishi na mwokozi wangu Kwa amani na furaha tena ya ajabu Sipati picha kwa watakaofika kwetu mbinguni*2 2 Hii dunia imejaa shida kama hujui nenda hospital kaone Lakin kwetu hakuna fani ya tabibu Watakatifu watachuma majani ya mti wa uzima wawe na afya Hawataugua magonjwa tabu tutaziacha zote hapa duniani () (Piano plays) 3 Mpendwa njoo turudi nyumbani Asubui yaja tuyakimbie ya dunia Atayekosa hapo kwel ni hasara Aya matatzo ni mitego ya shetan Hili tushindwe kufika nyumbani kwetu pazur Lakini kwa jina jina la yesu tumeshinda tunaenda () till fade
Writer(s): Ambassadors Of Christ Choir Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out