Lyrics

Yeah Oooh, yeah Shujaa wako (Shujaa wako) Ukihitaji rafiki, unipigie Na nitafika hata kabla simu hujaikata Na kifuani mwangu nitakuliwaza Na nitakesha, nikikulinda ukilala Najua moyo unataka, akili inataka Najua unampenda, unampenda yule Na tena mimi sina wivu Ila naomba ije siku uje elewa Ije siku uje kuielewa thamani yako That I'm one call away Ukinihitaji mpenzi, nipigie simu yangu One call away Ukinihitaji mpenzi, 'shujaa wako One call, one call away Call me, if you need me, call me One call, one call away Call me if you need me, call me Mapenzi hayafai kuumiza Sasa nini unampendea? Mapenzi hayafai kuliza Kutwa umeshinda ukiyang'ang'ania Wakati ina ku-cost furaha yako Oh, no (oh, no, oh, no, no) Najua moyo unataka, akili inataka Naelewa unampenda, unampenda yule Na tеna mimi sina wivu Ila naomba ije siku uje elеwa Ije siku uje kuielewa thamani yako, mmh That I'm one call away Ukinihitaji mpenzi, nipigie simu yangu One call away Ukinihitaji mpenzi, 'shujaa wako That I'm one call One call away Call me, if you need me, call me One call, one call away, call me (oh) If you need me, call me
Writer(s): Jacob Obunga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out