Credits
PERFORMING ARTISTS
Rolex aiz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Muhsin Kassim
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Wanted boy
Producer
Lyrics
Hivi ni wapi ambako kuna vibe
Nataka leo nika enjoy
Wapi ambako kuna vibe
Nataka leo nika enjoy
Siwezi lala pekeangu
Nataka kukesha na wenzangu
Siwezi lala pekeangu
Nataka kuruka na wenzangu
Leo mimi sibaki humu ndani
Nauo mlango mkitaka fungeni
Leo mimi sibaki humu ndani
Nauo mlango wenu mkitaka fungeni
Chapaa ninazo ndio
Leo natumia ninalo salio
Ni furaha mwambie mwenzio
Leo tunavesha mpaka majogoo
Silali nyumbani i don\'t no
Silali nyumbani leo leo
Silali nyumbani i don\'t no
Silali nyumbani leo leo leo
Leo mimi sibaki humu ndani
Nauo mlango mkitaka fungeni
Leo mimi sibaki humu ndani
Nauo mlango wenu mkitaka fungeni
Chapaa ninazo ndio
Leo natumia ninalo salio
Ni furaha mwambie mwenzio
Leo tunavesha mpaka majogoo
Silali nyumbani i don\'t no
Silali nyumbani leo leo
Silali nyumbani i don\'t no
Silali nyumbani leo leo leo
Chapaa ninazo ndio
Leo natumia ninalo salio
Ni furaha mwambie mwenzio
Leo tunavesha mpaka majogoo
Written by: Muhsin Kassim

