Lyrics

It's Cukie Dady Baby Tori samwela Oh, baby! Penzi kombolela Baby Tusije kumbwela Oh, baby! Wakabutua bila Honey, sisi binadamu hatuja kamilika Ukinicheat mara moja Sawa, ila fichaa Yani dunia inamengi Usijelewa sifa Ukikosea mara moja tafadhali shuka Hayakuliza ka'inauma! Na ukiwashwa nakukuna Nna moyo wanyama sina chuma Ukikosea itaniuma Hayakuliza ka'inauma! Na ukiwashwa nakukuna Nna moyo wanyama sina chuma Ukikosea itaniuma Heeeya, waooh, hawa (N'na wasi wasi) mnh! (Ni wasi wasi na wewe) aheee!! (Mpenzi wasi wasi) ndo huo tu unanitesa! (Nina wasi wasi) mnhh eh! (Ni wasi wasi, penzi wasi wasi) ndo akili iyoo (Ni wasa wasi ni wasi wasi) (Mpenzi wasi wasi) ndo huo tu unanitesa! (Nina wasi wasi ni wasi wasi) (Penzi wasi wasi) Eeti, siuna nipenda wee? Ulisema; "hata nyumba si'utajenga" we! Eeti, siuko kando wee Ulisema; "n'kiwa sina ntabaki na wewe" Ningeweza kujigawa Wangejichana, wangejigwa Kupata kipande N'kiwa mbali baki dawa Honey, sis binadamu hatuja kamilika Ukinicheat mara moja Sawa, ila fichaa Yani dunia inamengi Usijelewa sifa Ukikosea mara moja tafadhali shuka Hayakuliza ka'inauma! Na ukiwashwa nakukuna Nna moyo wanyama sina chuma Ukikosea itaniuma Hayakuliza ka'inauma! Na ukiwashwa nakukuna Nna moyo wanyama sina chuma Ukikosea itaniuma Heeeya, waooh, hawa (N'na wasi wasi) mnh! (Ni wasi wasi na wewe) aheee!! (Mpenzi wasi wasi) ndo huo tu unanitesa! (Nina wasi wasi) mnhh eh! (Ni wasi wasi, penzi wasi wasi) ndo akili iyoo (Nina wasi wasi ni wasi wasi) (Mpenzi wasi wasi) ndo huo tu unanitesa! (Nina wasi wasi ni wasi wasi) (Penzi wasi wasi) It's Cukie Dady!!
Writer(s): Salmin Ismail Hoza Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out