Lyrics

DG Kama Mungu ungetazama Kama watu tunavyotazama Nisingetosha kwenye mizani Nisingekidhi masharti Hukuangalia historia ya familia niliyotokea Hazikukutisha zangu tabia ulilitazama lililo Jema Umenipenda nisiyestahili Umeniita mwanao Niliyejidhani ya kuwa sifai Umenipenda upeo Umebadilisha na yangu asili Umenifanya mboni ya jicho lako Mmmmmmh Ungehitaji walio kamili Mimi si mmoja wao Ulichojali wangu utayari wa kufanya utakalo Umenikabidhi na zako siri Na kunifanya rafiki wa moyo wako Bwana Umenikubali Jinsi nilivyo Umenikubali Jinsi nilivyo Eeeeh Umeona jema ndani yangu Na wala hukutazama unyonge wangu Bwana umenikubali Jinsi nilivyo Umenikubali Jinsi nilivyo Bwana Umeona jema ndani yangu Na wala hukutazama unyonge wangu Kuna muda najiuliza Wewe ni Mungu Wa namna gani Uliyenipenda na kunikubali Mtu wa namna hii Ziko nyakati hata mimi Napata shida kujikubali Iweje wewe unipende Mtu wa namna hii Eeeeeeh Umenipenda nisiyestahili Umeniita mwanao Niliyejidhani ya kuwa sifai Umenipenda upeo Umebadilisha na yangu asili Umenifanya mboni ya jicho lako Eh Bwana Ungehitaji walio kamili Mimi si mmoja wao Ulichojali wangu utayari wa kufanya utakalo Umenikabidhi na zako siri Na kunifanya rafiki wa moyo wako Baba umenikubali Jinsi nilivyo We umenikubali Jinsi nilivyo Eeeh Bwana Umeona jema ndani yangu Na wala hukutazama unyonge wangu Baba umenikubali Jinsi nilivyo Umenikubali Jinsi nilivyo Maana Umeona jema ndani yangu Na wala hukutazama unyonge wangu Asanteee Asanteee Baba Asantee Asantee We maana maana Umeona jema ndani yangu Na wala hukutazama unyonge wangu Asanteee Baba asantee Asantee Maana maana Umeona jema ndani yangu Na wala hukutazama unyonge wangu Asanteee Asanteee Kweli Asantee Asantee Baba umeona jema ndani yangu Na wala hukutazama unyonge wangu Kweli Bwana umenikubali Jinsi nilivyo Umenikubali Jinsi nilivyo Si kama wanadamu Umeona jema ndani yangu Na wala hukutazama unyonge wangu
Writer(s): Joel Lwaga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out