Lyrics

Imeandikwa waheshimu wazazi wako Siku zako zipate ongezeka Imeandikwa waheshimu baba na mama Vijana wengi waheshimu baba peke yake Kwa kuwa mama ni mpole wengi wanamdharau Unatenda dhambi ukimdharau mama ni mama huyo Oh Mama, Mama Oh Mama, Mama Ni mama yako usimpigie Ngumi Ni mama yako huyo usimtukane Ni mama yako usimnyoshe kidole Mama ni mama hata kama huna msingi elimu ni mama huyo Ni mama yako usimpigie Ngumi Ni mama yako huyo usimtukane Ni mama yako usimnyoshe kidole Mama ni mama hata kama huna msingi elimu ni mama huyo Mama mama mama, uwezo wa kukulipa sina Kwa taabu ulininyonyesha Namwomba Mungu akupe baraka mama Ooh Mama, mama aah Mama yako alinusurika kufa wakati unazaliwa wewe dada Aliweka roho mkononi wakati wa kuzaliwa kwako kaka Mama yako alinusurika kufa wakati unazaliwa wewe baba Aliweka roho mkononi wakati wa kuzaliwa kwako dada Ni mama yako usimpigie Ngumi Ni mama yako huyo usimtukane Ni mama yako usimnyoshe kidole Mama ni mama hata kama huna msingi elimu ni mama huyo Mama mama mama, uwezo wa kukulipa sina Kwa taabu ulininyonyesha Namwomba Mungu akupe baraka mama Ooh Mama, mama aah Mama mama mama, uwezo wa kukulipa sina Kwa taabu ulininyonyesha Namwomba Mungu akupe baraka mama Ooh Mama, mama aah Unapata wapi ujasiri wa kumtukana mama Unapata wapi ujasiri wa kumpunja Unapata wapi ujasiri wa kumpiga mama yako Unapata ujasiri pepo ni pepo hiyo Uponywe kwa jina la Yesu Mama mama mama, uwezo wa kukulipa sina Kwa taabu ulininyonyesha Namwomba Mungu akupe baraka mama Ooh Mama, mama aah Mama mama mama, uwezo wa kukulipa sina Kwa taabu ulininyonyesha Namwomba Mungu akupe baraka mama Ooh Mama, mama aah Mungu alimuamini mama akakuweka tumboni miezi tisa Mama yako alikuwa mwaminifu kwa Mungu Akakutunza tumboni miezi tisa Mungu alimuamini mama akakuweka tumboni miezi tisa Mama yako alikuwa mwaminifu kwa Mungu Kakutunza tumboni miezi tisa Kumbuka baba yako naye anayo tumbo Jiulize kwa nini hukuwekwa kwa baba yako Mheshimu mama Ooh mama Mama mama mama Uwezo wa kukulipa sina Kwa taabu ulininyonyesha Namwomba Mungu akupe baraka mama Ooh Mama, mama aah Mama mama mama, uwezo wa kukulipa sina Kwa taabu ulininyonyesha Namwomba Mungu akupe baraka mama Ooh Mama, mama aah
Writer(s): Boniphace Mwaitege Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out