Lyrics

Mmmmmh mmmmh Aaaaaah aaaah Mapenzi yamenibadilisha Skuizi sinaga ubabe Nishakuwa ghucha Niache moyoni niyabebe babii Mimi ni kuku wako ukitaka Mayai niyatage sema Na ukiona na ujinga We nisitiri usinibwage Sina matamanio nishavukaga huko Sintoivua vazi la heshima Ulionivisha kwa upendo Sina matarajip ya kuondoka kwako Dunia imeshabadili wengi Wakawa vituko Mapenzi sio mchezo wa ngumi Nipige na khanga au ukuni Hata ukinifinya finya haiumi Naona raha Naisoma namba kwa kirumi Huu mchezo gani mbona wa kihuni Hata ukinifinya finya haiumi Aaaah naona raha Unanijaza upendo mpaka unatiririka Tiriririii Unanitiririka Tiriririii Tiriririii Tiriririii Upendo unanitiririka mie Tiriririii Tiriririii Ahaaaaa Ahaaaa Tiriririka kama si diaba Najaza ndoo Raha nnazompa Eti kama marhaba Nikimpa shikamoo Haniachi njiani nafika Mi kwake Yes sisemi No Siwezagi kususa nisipomuona Wafukuta moyo Asante angalau umenionesha Maana ya upendo Na sio kwa nahau (kwa nahau) Umenionesha kwa vitendo Sitokaaga nisahau Nilinyanyasika hapo mwanzo Niliyaoga madharau Kwa kumpenda asiojali upendo Mapenzi sio mchezo wa ngumi Nipige na khanga au ukuni Hata ukinifinya finya haiumi Naona raha Naisoma namba kwa kirumi Huu mchezo gani mbona wa kihuni Hata ukinifinya finya haiumi Aaaah naona raha Unanijaza upendo mpaka unatiririka Tiriririii Unanitiririka Tiriririii Tiriririii Tiriririii Upendo unanitiririka mie Tiriririii Tiriririii
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out