Lyrics

Ameniwaka huru kweli Naimba sasa "Haleluya" Kwa msalaba nimepata Kutoka katika utumwa Ameniwaka huru kweli Naimba sasa "Haleluya" Kwa msalaba nimepata Kutoka katika utumwa Nimeokoka, nafurahi Na dhambi zangu zimetoka Nataka kumtumikia Mwokozi wangu siku zote (oh) Nimeokoka, nafurahi Na dhambi zangu zimetoka Nataka kumtumikia Mwokozi wangu siku zote Zamani nilifungwa sana Kwa minyororo ya shetani Nikamwendea bwana Yesu Akaniweka huru kweli Zamani nilifungwa sana Kwa minyororo ya shetani Nikamwendea bwana Yesu Akaniweka huru kweli Nimeokoka, nafurahi Na dhambi zangu zimetoka Nataka kumtumikia Mwokozi wangu siku zote Nimeokoka, nafurahi Na dhambi zangu zimetoka Nataka kumtumikia Mwokozi wangu siku zote Neema kubwa nilipata Kuacha njia ya mauti Na nguvu ya wokovu huo Yanichukua siku zote Neema kubwa nilipata Kuacha njia ya mauti Na nguvu ya wokovu huo Yanichukua siku zote Nimeokoka, nafurahi Na dhambi zangu zimetoka Nataka kumtumikia Mwokozi wangu siku zote Nimeokoka, nafurahi Na dhambi zangu zimetoka Nataka kumtumikia Mwokozi wangu siku zote Na siku moja nitafika Mbinguni kwake Mungu wangu Milele nitamhimidi Na kumwimbia kwa shukrani Na siku moja nitafika Mbinguni kwake Mungu wangu Milele nitamhimidi Na kumwimbia kwa shukrani Nimeokoka, nafurahi Na dhambi zangu zimetoka Nataka kumtumikia Mwokozi wangu siku zote Nimeokoka, nafurahi Na dhambi zangu zimetoka Nataka kumtumikia Mwokozi wangu siku zote Nimeokoka, nafurahi Na dhambi zangu zimetoka Nataka kumtumikia Mwokozi wangu siku zote Nataka kumtumikia Mwokozi wangu siku zote Nataka kumtumikia Mwokozi wangu siku zote
Writer(s): Alvin Handro, Papi Clever Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out