Top Songs By Kontawa
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Kontawa
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Abdu Hamid
Composer
Lyrics
Me nachekaga tu
Wananiita mwalimu
Oya me ndo mwalimu eeh
Najulikana mwalimu
Kwa sifa zangu mwalimu
Nimegundua wanafunzi hawasomi sana
Mwalimu asipo shika fimbo
Na me ndio maana wanafunzi wangu bwana
Me nawachanganya nikiwaonesha fimbo
Kuna mwanafunzi wa kidigo huyo katokea Tanga
Kaja shuleni kiunoni amevalia Shanga
Na alivyo mtundu darasani anapiga misamba
Nilivyotoa fimbo kumchapa akaanza kulia
Aaaaah eeeeeh akaanza kutapatapa
Teacher usichape huko nataka unichape hapa
Na me nlivyo mwehu mtoto nikamkamata
Nikamchapa chapa we viboko vya fastafasta
Aaaaah eeeeh mtoto akaanza kulia
Teacher usichapehivyo mwenzako me naumia
Na ukichapa sana nitakosa cha kukalia
Mana fimbo yako nashindwa kuvumilia
Wananiita mwalimu
Ooooh mwalimu
Wananiita mwalimu
Ooooh mwalimu
Wananiita mwalimu
Ooooh mwalimu
Wananiita mwalimu
Ooooh mwalimu
Wananiita mwalimu
Ooooh mwalimu
Huyu mwanafunzi ni hatari
Anakuja kusoma physics usiku mkali
Mwenzenu me namkubali
Ila mwalimu wa math anasema hatofika mbali
Te ta te ta tatalilato
Kuna mwanafunzi wa kiume anamletea ubishoo
Sa kuna siku iliniuma nlivyowafuma stoo
Nikamfanyia figisu mwanafunzi yule akapata four
Sina unyonge nikiwa darasani
Akifanya kosa namshikisha ukutani
Kwanza nina mazonge mshahara hauonekani
Nikipagawa napangisha chumba cha mtihani
Huyu mwanafunzi ananitia mawenge
Anasema eti Teacher fimbo yako bongebonge
Anachukua kamera lengo lake anihonge
Arekodi fimbo yangu itrend ka Teacher konde
Wananiita mwalimu
Ooooh mwalimu
Wananiita mwalimu
Ooooh mwalimu
Wananiita mwalimu
Ooooh mwalimu
Nani? Nani?
Wananiita mwalimu
Ooooh mwalimu
Nani? Nani?
Wananiita mwalimu
Ooooh mwalimu
Writer(s): Walter Chilambo
Lyrics powered by www.musixmatch.com