Credits

PERFORMING ARTISTS
Madeleine Tz
Madeleine Tz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Madeleine Shimata
Madeleine Shimata
Songwriter

Lyrics

Karibu mgeni Karibu kwenye Imaya ya Moyo Wangu
Usikae foleni
Zama moja kwa moja ingia ndani kwangu
Wengine wa nini maana nishapenda na we ndio size yangu
Raha! Unazo Nipa
Hadi nahisi kizungu zungu
Ananipa mara tatu kwa siku
Nikitaka naongezwa
Ananifanya kama mtoto
Nikinuna nabembelezwa na
Kila ngoma anayopiga
Mwenzake
Niko tayari kuicheza
Yani penzi Mwake Mwake
Ananikoleza
Penzi jipya raha (raha)
Penzi jipya raha (raha)
Jamani
Penzi jipya raha
Penzi jipya raha (raha)
Kama mnamadhara
Poleni
Nawaonea huruma
Niwasaidie niwaombeni
Nanyi mpate salama
Maana yeye ndio wangu Wa ndani
Kwengine Tena Hana
Penzi kalipeleka shuleni
Kwa raha
Twalisoma
(Mmhhmm)
Mi na yeye mpaka paradiso (aah)
Penzi lina baraka
Za Yesu Kristo (oooh)
Wanaotaka tufe
Yatawakuta mazito (aah)
Kwangu Alpha na Omega
Mwanzo na Mwisho (ooh
Written by: Madeleine Shimata
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...