Lyrics

(Instrumental) Uuuuuh Uuuuuuuh Uuuuuh Uuuuuuuh (Utaa Mh Ee Spessor) Mmh Mapenzi Ugonjwa Wee Ndio Wangu Uzima Eh Kwako Nshabwaga Moyo Uchoyo Lazima Mmh Staki Tugombane Tushakua Watu Wazima Hee Hee Tusigombane Tushakua Watu Wazima Staki Uniweke Roho Juu Juu Nikakonda Mazima Moyo Ukadunda Puh Puh Puh Wee Ndio Wangu Mtima Staki Uniweke Roho Juu Juu Nikakonda Mazima Moyo Ukadunda Puh Puh Puh Wee Ndio Mpooza Mtima Utanikosa Una Macho Juu Juu Hauridhiki Na Ulicho Nacho Wenzako Wananitolea Macho Na Utajipoonza Acha Zako Shuu Shuu Hauridhiki Na Ulicho Nacho Wenzako Wananitolea Macho Uuuuuh Uuuuuuuh Uuuuuh Uuuuuuuh Oyeh Hee Usiwe Mtu Kitu Kitu Ukageuka Chatu Chatu Moyo Msitu Situ Kuna Watu Na Viatu Atu Staki Uniweke Roho Juu Juu Nikakonda Mazima Moyo Ukadunda Puh Puh Puh Wee Ndio Wangu Mtima Staki Uniweke Roho Juu Juu Nikakonda Mazima Moyo Ukadunda Puh Puh Puh Wee Ndio Mpooza Mtima Utanikosa Una Macho Juu Juu Hauridhiki Na Ulicho Nacho Wenzako Wananitolea Macho Na Utajipoonza Acha Zako Shuu Shuu Hauridhiki Na Ulicho Nacho Wenzako Wananitolea Macho Uuuuuh Uuuuuuuh Uuuuuh Uuuuuuuh (Instrumental) Kamix Laizer
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out