Lyrics

So fresh is on the beat Kipara bila pesa kidonda Cheki dem yako anakutoka (toka) Wananiitanga Maradona (dona) Ju' mi' huwakata nikisonga (songa) Usipandishe mrembo boda-boda Hio ndo siku ya mwisho utamuona Usiulize ka' niligonga Niulize kile niliona Ay, aki ya mama nasare dry fry (mmh-mh) Na kupigana bila mundai (kupigana bila mundai) Vidole mbili weka peace sign (aah-ah) Hizo zingine weka inside (weka inside) You know I pull up like a G (like a G) Shawrry ameweza, she is a freak (freak) Hakunanga kitu ya free (free) Naguza nione ka' ni real (real) Lifestyle You know they love me for the (lifestyle) Niite illuminati kumbe (lifestyle) We' unasema ni bangi kumbe (lifestyle) Top G mi' ndio big propeller (lifestyle) Haga big imejaa kwa dera (lifestyle, yoh, you already know, man) Na inaclap, na inaclap, na inaclap (lifestyle) Na inaclap, na inaclap, na inaclap (lifestyle, let's get it) Huh, maisha fiti na marafiki tunaungua (tunaungua) Na si cheating kama wifey anajua (anajua) Mziki hailipi, basi ni vipi nina ganji? Shika tikiti uje uone vile kwa mic nachafua (nachafua) Kikulacho ndo hio hapo inakusumbua Tunajua ni bidii yako ukimuanika, tunaanua (tunaanua) Bidii jasho ndo hio dinga utanunua Otherwise piga kalesa na ikikuuma unaeza zua, twende Lifestyle kuna wenye inawawasha Last time tulikataa ku perform Naivasha Ndani ya 110 ninawapita ka za Nascar Nilikuwanga wanted lakini sai wananitaka (taka) Huh, si ni funny, ah (funny, ah) Vile hit song imefanya msupa atake kunizalia (kunizalia) Swali kubwa najiuliza mi' ni chali ya? (Chali ya?) Siwezi sema ju ni hali ya (lifestyle) Na sipendi mapicha (lifestyle) Ngwai bila filter (lifestyle) Msupa wa mine ninaficha (lifestyle) Bien huwanga mziza (lifestyle) Kila label, kila teaser (lifestyle) Na sipendi mapicha (lifestyle) Lifestyle Oh-oh-oh, maandamano, maandamano (maandamano) Wamepandisha bei ya avocado (avocado) Cheki ka' imeiva finya ka' piano Promoter apana leta zogo kabla show nilipe full price (full price) Hapa duniani niko na one life (niko na one life) Mzinga lazima kwanza baptize (baptize) Kwa nyong'inyo niko na half life (niko na half life) You know I pull up like a G (like a G) Shore ameweza she is a freak (freak) Hakunanga kitu ya free (free) Naguza nione ka ni real (real) Lifestyle You know they love me for the (lifestyle) Niite illuminati kumbe (lifestyle) We' unasema ni bangi kumbe (lifestyle) Top G mi ndio big propeller (lifestyle) Haga big imejaa kwa dera (lifestyle) Na inaclap, na inaclap, na inaclap (lifestyle) Na inaclap, na inaclap, na inaclap (lifestyle)
Writer(s): Bienaime Alusa, Churchill Mandela, So Fresh Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out