Sauti Sol in a di area kumechacha (Kila kona, yo, yo)
Karibuni kwenye extravaganza
Na Nviiri alipofika alifunika, eeh
[Verse 2]
Walifunga milango
Wakatupata tuko ndani nao
Wakaita makanjo
Kumbe ni sisi huwalipa salo (Wo-wo-wo-wo)
[Verse 3]
Wakazima mitambo
Shabiki wakabaki kwenye dance floor
Na iwe funzo kwao
Tunaongoza wanafuata nyayoo
[Chorus]
Ayeee, rhumba imetamba
Sauti Sol in a di area kumechacha
Karibuni kwenye extravaganza
Na Crystal alipofika alifunika, eeh
[Verse 4]
Wakaja na umati
Wakageuka kuwa wafuasi
Wakaja na majini
Wakapata tushazama kwa ndimi
Nyele za kifarasi
Lakini si ni moto ya makasi
Risasi mwendo kasi
Dandieni msiwachwe na basi iyee, ye eeh
[Chorus]
Ayee, rhumba imetamba
Sauti Sol in addi area kumechacha
Karibuni kwenye extravaganza
Kaskazini walipofika walifunika, eeh
[Verse 5]
Wakaenda kusini
Wakajipata wako kaskazini (Eeh)
Wakaja na magigi
Lakini si tukaja na muziki (Eeh)
Wo-wo-wo, ye-ye-ye
Hata wazime taa tutazidi kuparty
Wo-wo-wo, ye-ye-ye
Hizi vitu hazitakangi utiaji eeh
[Verse 6]
Na wakiapisha, (Tunaapisha)
Na wakifunika, (Tunafunua)
Eh wakianika, (Tunaanua)
Na wakisafisha, (Tunachafua)
[Chorus]
Ayee, rhumba imetamba (Mama, yo-yo-yoo)
Sauti Sol in addi area kumechacha
Karibuni kwenye extravaganza
Karibuni kwenye extravaganza
Ayee, rhumba imetamba
Sauti Sol in addi area kumechacha
Karibuni kwenye extravaganza
Karibuni kwenye extravaganza
[Outro]
Why are you looking for trouble, trouble, trouble?
Hapana rusha mawe kwa police station
Kabla uwashe kivela cheki situation
Hapana shusha bendera kwa chifu
Why are you looking for trouble, trouble, trouble?
Bibi ya wenyewe is a no-go zone
Kabla ukute vitu piga protection
Nairobi mwizi utageuzwa jivu
Why are you looking for trouble, trouble, trouble?
Hapana rusha mawe kwa police station
Kabla uwashe kivela cheki situation
Hapana shusha bendera kwa chifu
Why are you looking for trouble, trouble, trouble?
Bibi ya wenyewe is no-go zone
Kabla ukute vitu piga protection
Nairobi mwizi utageuzwa jivu
Written by: Ananias Nviiri Sande, Benson Mutua Muai, Bien Aime Alusa, Christopher Kioko, Crystal Asige, Delvin Mudigi Savara, Eugine Simon Ywaya, Israel Edgar Onyach, Polycarp Ochieng Otieno, Willis Austin Chimano