Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Ben Will
Ben Will
Performer
Benson Hauzimi
Benson Hauzimi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Benson William
Benson William
Songwriter

Lyrics

Benson - My mood
Your my mood
Wee ukinuna
How i can tabasam
Turuu tururuu tu
I feel good
Ukinita
Sisiti nacome
Our love is good
Hainaaja yakupiga debe
You know i feel good
Baby ukinishika uchebe
Tururu turuu babyy
Msalaba wangu usibebee
Oooh my darling
Ninachotaka wendounibebe
Weweee binadamuu
Ukija fahamu
sina utaalamu
Ntateseka mbwa miee
Lako tabasamu
Haliniishi hamu
Aaaaa utaamu
Naupata kwako weee
Your my mood
Your my mood
Wee ukinuna
How i can tabasam
How i can tabasam
I feel good
Ukinita
Sisiti nacome
Natamani niseme upendo wetu
We mbele ya macho ya watu
Ila nikisema naogopa
Litakufa jitu
Sijui nisimame nitangaze juu ya upendo wetu
Ila nikitangaza naogopa
Atarogwa mtu
Baby skia hiii hii
Miluzi ya mapenzi
Weweee binadamuu
Ukija fahamu
sina utaalamu
Ntateseka mbwa miee
Lako tabasamu
Haliniishi hamu
Aaaaa utaamu
Naupata kwako weee
Your my mood
Your my mood
Wee ukinuna
How i can tabasam
I feel good
Ukinita
Sisiti nacome
Huhuuu huu huuu
Mmmh mmh mm
Written by: Benson William
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...