Lyrics

Lina bana lina tight Sijawahi pata penzi la hivi Hii kitu kutoka sio rahisi Hata kuzama pia sio rahisi Nahisi nimekolea sana Kweli hivi sio kawaida Maana wewe hujaachia mwanya Umeniteka umeniiba Oooh! Ndoto zangu toka zamani Kupata mtu kama wee Nilalelale kifuani Kichwani anitawale Ndoto zangu toka zamani Kupata mtu kama wee Atae nipa burudani Hivi Oooh baby, hunnie Naskia baridi mimi Oooh baby, hunnie Naskia baridi mimi Oooh baby, hunnie Naskia baridi mimi Oooh baby, hunnie Naskia baridi mimi Na hapa nilipo nipo kileleni Kama Kilimanjaro Napenda unavyonipa vitu laini Nachizika na ulio nayo Baby kuwa nawe naskia raha Kukupata naskia raha Siunajua unavyo nikuna Usiniache nitakesha bar Ndoto zangu toka zamani Kupata mtu kama wee Nilale lale kifuani Kichwani anitawale Ndoto zangu toka zamani Kupata mtu kama wewe Atae nipa burudani mmmmmh Hivi Oooh baby, hunnie Naskia baridi mimi Oooh baby, hunnie Naskia baridi mimi Oooh baby, hunnie Naskia baridi mimi Oooh baby, hunnie Naskia baridi mimi
Writer(s): Alvin Handro, Jay Melody Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out