Lyrics

Yeah eh Ihh Baghosha (Jini ex double 6) Sitamani wanishushe hili penzi lifike Tufe wote tuzikwe walimwengu mtupishe Nitakuwa Nduli Iddi Amin kwa penzi lako Iwe nchi kavu baharini nitakuwa mboni yako Nashukuru nimekupata Tunavyopendana ni kama mapacha Nashukuru nimekupata Tunavyopendana ni kama mapacha (Uh uh huu) Maana huyu (Wa kwangu pekee yangu) Ah haina kushea (Wa kwangu pekee yangu) uh Nimejipata kwake (Wa kwangu pekee yangu) ah Maana huyu (Wa kwangu pekee yangu) My we my wewe my wewe My wewe wa pekee yangu Peke yangu Nimeshacheza sana ndondo Ndondo mipira ya peku Ila we pekee ndo uliogundua kipaji changu Nimeliweka la kwako moyoni Mpaka kinywani siishi kulitaja Umenifanya nipende kiundani Wanipeleka mbali nikibanwa haja Nashukuru nimekupata Tunavyopendana ni kama mapacha Nashukuru nimekupata Tunavyopendana ni kama mapacha (Uh Uh huu) Maana huyu (Wa kwangu pekee yangu) Ah haina kushea (Wa kwangu pekee yangu) Uh nimejipata kwake (Wa kwangu pekee yangu) ah Maana huyu (Wa kwangu pekee yangu) My we my wewe my wewe Ah aah aah (Music)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out