Lyrics

Kama kosa la macho Hata mkiziba nsimuone Ndani ya moyo wangu namuona yeye Oooh kimaso maso wenye wivu mukome Mtaambulia matandu solo nala na yeye Na mkisema ananichuna ntampa paka BOT Kama penzi taalumu basi ye ana degree Kwake simezi mezi azuma kitu swafi og Midomo itawanuka kwa kununa Mngetafuna ata bigijii Yeye niwangu mimi mimi ni wake yeye Wengine sa wanini, staki nichezewe Yeye niwangu mimi mimi ni wake yeye Wengine sa wanini, staki nichezewe Mimi kwake zoba (mimi kwake zobaa) Mimi kwake jinga (mimi kwake jingaa) Mimi kwake zoba (mimi kwake zobaa) Mimi kwake jinga (mimi kwake jingaa) Vyandani ni siri kanikataza nsiseme Ila ningewaambia raha anazonipa Kunako alfajiri, anaparama mnazi augeme Huku tunasinzia, paka tunafika Alafu darling nikupe sirii Mikwako chalii moyo na mwili Kama mie gari we ndio tairi Usije ukaenda mbali utanihadhirii Amina amina na iwe kheri amina Daima daima nikuvishe shera na hina Amina amina na iwe kheri amina Daima daima nikuvishe shera na hina Yeye niwangu mimi mimi ni wake yeye Wengine sa wanini staki nichezewe Yeye niwangu mimi mimi ni wake yeye Wengine sa wanini staki nichezewe Mimi kwake zoba (mimi kwake zobaa) Mimi kwake jinga (mimi kwake jingaa) Mimi kwake zoba (mimi kwake zobaa) Mimi kwake jinga (mimi kwake jingaa)
Writer(s): Abdul Hamisi Mtambo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out