Lyrics

Hey ooh ooh mmh mmh (chally) Hey hey, heey ooh ooh Sikatai yule muonyesha wivu Ndiye mwenye mapenzi ya kweli kwa mwenzi Lakini pia uvumilivu Na vitendo vya karaha vilimuumiza Mwenzio mimi ni mtulivu Na kuiba mali ya mtu sijafunzwa Ona dhambi lawama Ulonipa mimi leo inaniuma eh Fikira zako ziko vibaya Na kudhani ya kwamba yule demu nilimpenda Ni kweli nilimpenda Lakini ni kama rafiki wa mtima Haya ulofanya leo Ikifika kesho utajibu nini kiama Kwa yale yote mapendo ni kama kioo Aliyokupa niliyaona Ukadhani anakusaliti kutoka kwako Na kuwa mimi naye (mimi na yeye) Kutokana na wako wivu Ukadariki kumuacha ajiue Kwa nini why? Unatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa Najua mwanamke akipenda Huwa kapenda kweli Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia) Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia) Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia) Mapenzi yana-run dunia aaah (show real love) Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia) Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia) Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia) Mapenzi yana-run dunia (show real love) Feel free to love (wowoow) Feel free to love (wowoow) Mmh mmh (wowoow) Wajua kuna waliobadilisha dini Na yote sababu ya kupenda Na kuna walokimbia hii Dunia Sababu hiyo hiyo kupenda Yule alikupenda sana Minajua na mambo mengi umefanya ilala Bestee wangu nilimpenda Umefanya mpaka sasa kajiua Fikira zako ziko vibaya Na kudhani ya kwamba yule demu nilimpenda Ni kweli nilimpenda Lakini ni kama rafiki wa mtima Haya ulofanya leo Ikifika kesho utajibu nini kiama Kwa yale yote mapendo ni kama kioo Aliyokupa niliyaona Ukadhani anakusaliti kutoka kwako Na kuwa mimi naye (mimi na yeye) Kutokana na wako wivu Ukadariki kumuacha ajiue Kwa nini why? Unatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa Najua mwanamke akipenda Huwa kapenda kweli Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia) Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia) Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia) Mapenzi yana-run dunia aah (show real love) Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia) (Hii dunia hii dunia) Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia) (Dunia ooh ooh) Mapenzi yana-run dunia (mapenzi yana-run dunia) Mapenzi yana-run dunia aaah (show real love) Feel free to love (wowoow wowoow) Feel free to love (wowoow wowoow) Mapenzi yana-run dunia (wowoow wowoow) ... Mapenzi yana-run dunia dunia aah aah (dunia) Ally wa real love mapenzi yana-run dunia Eh eeh eeh (... Run dunia) Feel free of love (eeh eh eh) Feel free to love (eh eh) Feel free to love (feel feel) (eeh eh eh) Feel free to love Feel free to love (feel free to love) Feel free to love (wowoow, wowoow) Feel free to love (wowoow, wowoow) Feel free to love Feel free to love Feel free to love Feel free to love Feel free to love Feel free to love (Chally) Feel free to love Feel free to love Feel free to love eh Eeh eh eh, eh eeh Eeh eh eh, eh eeh
Writer(s): Ali Saleh Kiba Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out