Lyrics

Ewe Mungu hali yangu si unaiyona Ni yule mimi tena nimekuja kwako kukuomba baba Ya uchungu nayopitia unayaona Si unasema nikisema mambo yangu kwako nitapata neema Maana leo kama jana jana kama leo Kila siku mi nalala kesho ata jana nimelala leo Eeh mungu basi kama nina dhambi sana angalia familia yangu Mwangalie mama angu Mwangalie na baba yangu Mungu wangu pia nakuomba sana bariki niwapendao Bariki masela kitaani Bariki washikaji zangu Nakuomba sana Hii ni dua yangu ya leo Hii ni dua yangu ya leo Hii ni dua yangu ya leo Hii ni dua yangu ya leo Najua namakosa unisamehe Bado sijajipata eeh Mungu baba fungua miamala Bando linakata muone mtoto wa mama samia na njaa Pesa ndo inafanya watu wengi washinde njaa Njaa ndo inafanya wengine waibe Najua nazingua sometimes ubinadamu najisahau Unisamehe Eeh mungu basi kama ninadhambi sana angalia familia yangu Mwangalie mama angu Mwangalie na baba yangu Mungu wangu pia nakuomba sana bariki niwapendao Bariki masela kitaani Bariki washikaji zangu Nakuomba sana Hii ni dua yangu ya leo (uuh mungu wangu) Hii ni dua yangu ya leo (unisamehe) Hii ni dua yangu ya leo (dua yanguu) Hii ni dua yangu ya leo Naomba unitimizie Eeh mungu basi kama nina dhambi sana angalia familia yangu Mwangalie mama angu Mwangalie na baba yangu
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out