Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Ellen Singers
Ellen Singers
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Moses Kisaba
Moses Kisaba
Songwriter

Lyrics

Siyo jana hata leo, Mungu wetu ni yule yule
Alitenda makuu ajabu jamani toka enzi zile
Hata leo anasikia, atajibu nikimwambia
Atatenda makuu mengi nisiyoweza
Bila shaka na wewe usichoke kumuomba Mungu
Hata kama unazipitia changamoto zilizo ngumu
Atakujibu kwa wakati wake, uchoke wala usijali
Atatenda makuu mengi usiyoweza
(Tutambue Mungu wetu) anatupenda
(Hajawahi kutuacha) si tukashinda
Aliyewavusha Israel, dhidi ya mkono wa Farao, yupo hapa leo atatushindia
(Minguuni pake Yesu) Tunashuka
(Tukisema wastahili) utukufu (Meeh), na heshima (Mhh)
Maana wewe Bwana (Mungu), ni Mkuu sana-haha, hakuna mwingine, hehex2
Amenipatia kicheko, huyo ni Sara ndiye alisema
Kila asikiaye, atacheka pamoja nami
Sifa nitakurudishia, we Mungu uliyeniinua, kwa makuu ajabu mengi nisiyoweza
Wewe Mungu hakika, nafurahi nikiwa na wewe
Mwingine simtaki, mi na wewe mpaka washangae
Unasubiri nini kuamua, njia sahihi ya kuchukua
Ni kwa Yesu ndugu yangu hutajuta!
Written by: Moses Kisaba
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...