Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Osborns Praise
Choir
COMPOSITION & LYRICS
Osborns Praise
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Osborns Creative Studios
Producer
Lyrics
Come on everybody everybody
Come on come on come on
Weka swagger yako wakati unamsifu Bwana
Everybody everybody
One more time one more time
Ingekuaje
Kama usingenishika mkono Bwana
Ningewezaje
Kama usingenishika mkono Bwana
Eti ningevukaje
Kama usingenishika mkono Bwana
Bwana ningewezaje
Kama usingenishika mkono Bwana
(Maana hata sasa umenisaidia)
Hata sasa umenisaidia (saidia)
Nuru naiona
(Wee Bwana)
Ni Ebenezer
(Kweli hata sasa umenisaidia)
Hata sasa umenisaidia (saidia)
Nuru naiona
(Wee Bwana)
Ni Ebenezer
(Bwana hata sasa umenisaidia)
Hata sasa umenisaidia (saidia)
Nuru naiona (ayaya)
(Wee Bwana)
Ni Ebenezer
(Kweli hata sasa umenisaidia)
Hata sasa umenisaidia (saidia)
Nuru naiona
(Hebu waliosaidiwa na Bwana mikono juu namna hii alafu tunaenda)
Ni Ebenezer
(Here we go 1,2,3 come on everybody)
Kuna dada amekuja na kigelegele usiku huu ampigie Bwana
Kuna kaka amekuja na mluzi hebu mfanyie Bwana shangwe
Everybody everybody
Sikushukuru tu kwa haya uliyofanya,
Hata kwa yale hujayafanya
Nakuamini utayatenda
Wee ni Ebenezer
Sikushukuru tu kwa hayo uliyofanya,
Hata kwa yale hujayafanya
Nakuamini utayatenda
Wee ni Ebenezer
(Kweli hata sasa umenisaidia)
Hata sasa umenisaidia (saidia)
Nuru naiona
(Wee Bwana)
Ni Ebenezer
(Bwana hata sasa umenisaidia)
Hata sasa umenisaidia (saidia)
Nuru naiona
(Wee Bwana)
Ni Ebenezer
(Bwana hata sasa umenisaidia)
Hata sasa umenisaidia (umenishika mkono Bwana)
Nuru naiona
(Wee Bwana)
Ni Ebenezer
(Kweli hata sasa umenisaidia)
Hata sasa umenisaidia (saidia)
Nuru naiona
(Wee Bwana)
Ni Ebenezer
(One more time one more time come everybody everybody)
Wapi vigelegele kwa Bwana Yesu
Wapi shangwe na vigelegele kwa Bwana Yesu
Maana yeye ametushika mkono
Pale tulipokwama Bwana ametusaidia
Tulipopatwa na matatizo
Yeye Bwana amekua mwaminifu
Hata sasa Bwana haha
Everybody everybody
Are we ready for this one
Eee eeeh
Come on
Ebenezer Ebenezer
Tulipofika ni wee eh eh we
Ebenezer Ebenezer
Tulipofika ni wewe
(Ebenezer ah ah)
Ebenezer (Ebenezer)
Ebenezer
(Tulipofika) tulipofika ni wewe
(Wewe Ebenezer ni wewe Yesu)
Ebenezer (Umetushika mkono Bwana)
Ebenezer
(Tulipofika) tulipofika ni wewe
(Wewe Ebenezer)
Ebenezer (Ebenezer)
Ebenezer
(Tulipofika) tulipofika ni wewe
(Bwana Ebenezer ni wewe Yesu)
Ebenezer (Ebenezer)
Ebenezer
(Tulipofika) tulipofika ni wewe
(Everybody everybody everybody come on)
Aaah
Wako wapi wadada waliokuja na vigelegele kwa Bwana Yesu
Hebu mfanyie Bwana shangwe
Are we ready for this one tunaenda namna hii come on
One one time
Twende
One more time one more time one more time
Kuna mtu ameelewa sasa tunaenda namna gani come on
Namna hii namna hii nama hii
Two times
Everybody
Wapi shangwe na vigelegele kwa Yesu
Tunaenda mara tatu sasa mara tatu sasa come on
Three times
Everybody aaaah
Wako wapi wadada waliokuja na vigelegele kwa Bwana Yesu
Wakaka waliosaidiwa na Bwana wapi shangwe na miluzi
One time
Kimbilio langu msaada wangu ahsante Bwana
Unishindiae
Nyakati zote
Ahsante Bwana
Kimbilio langu msaada wangu ahsante Bwana
Umenishindia vita
Nyakati zote
Ahsante Bwana
(Kimbilio langu)
Kimbilio langu
(Msaada wangu) msaada wangu
(Ahsante) ahsante Bwana
(Unishindiae)
Unishindiae
(Nyakati zote) nyakati zote
(Ahsante) ahsante Bwana
(Wewe ni kimbilio langu)
Kimbilio langu
(Msaada wangu) msaada wangu
(Ahsante) ahsante Bwana
(Bwana unishindiae)
Unishindiae
(Nyakati zote) nyakati zote
(Ahsante) ahsante Bwana
(One more time wewe ni kimbilio langu)
Kimbilio langu
(Msaada wangu) msaada wangu
(Ahsante) ahsante Bwana
(Bwana unishindiae)
Unishindiae
(Nyakati zote) nyakati zote
(Ahsante) ahsante Bwana
(Everybody now)
Watu waliosaidiwa na Bwana wapi shangwe na vigelegele kwa Bwana
Waliopiganiwa na Bwana wapi kelele za shangweeeee
Weka shangwe na vigelegele kwa Bwana
Woo oooh
Eeeeh eee
Weka shangwe na vigelegele kwa Bwana
Ongeza tena kwa Bwana Yesu
Come somebody celebrate Jesus celebrate Jesus
Written by: Osborns Praise


