Lyrics

Nasema leo umelemewa Lakini kesho you never know Nasema leo umekosa mlo Lakini kesho you never know Nasema leo umelemewa Lakini kesho you never know Nasema leo umekosa mlo Lakini kesho you never know You never know, you never know, you never know, you never know Eeh! Ooh! Eeh! Usijitie kitanzi bado muda upo uuh! Na bwana yupo ywakuangazia mienendo yako Matatizo ni mengi yamejaa maishani Mawazo ya kwako ni kupagawa Usipagawe no! No! No! No! No! Usipagawe yeeh! Huenda leo umekosa mlo Huenda leo wewe kangonjeka Familia nayo imejitenga Jitenga na we eweh! Ukijizatiti na kujiamini kwake mwenyezi Yatakuwa shware eeh! Yatakuwa shware kukukuu! Nasema leo umelemwa Lakini kesho you never know Nasema leo umekosa mlo Lakini kesho you never know Nasema leo umelemewa Lakini kesho you never know Nasema leo umekosa mlo Lakini kesho you never know You never know, you never know, you never know, you never know Eeh! Ooh! Eeh! Mm kwako tabu na njaa, shindwa utafanya nini hakuna Na busara ya wahenga Ni kila mtu hupata raha Mmoja ni mmoja aah! Atakaye mamini yeye Atakuwa shware Simubanju we Anakupenda we eeh! Anakujali we Nasema leo umelemewa Lakini kesho you never know Nasema leo umekosa mlo Lakini kesho you never know Nasema leo umelemewa Lakini kesho you never know Nasema leo umekosa mlo Lakini kesho you never know You never know, You never know, You never know, you never know Eeh! Ooh! Eeh! You never know, you never know, you never know You never know
Writer(s): Tom Douglas, Rex Paul Schnelle Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out