Lyrics

Rose, Rose, Rose, Rose, Rose Mama, mama, mama, mama Ah kamata pindo la Yesu (shikilia) Ale kamata pindo la Yesu (shikilia) Usimwache aende zake (shikilia) Usimwache akuponyoke (shikilia) Usimwache akuponyoke (shikilia) Ale, kamata kamata kamata (shikilia) Ale kamata kamata kamata Kamata kamata kamata kamata Pindo, shikilia Aii, aii Yule mwanamke aliyetokwa na damu Miaka kumi na miwili, kasikia Yesu anapita Akasema leo sikubali lazima nipone Leo ni leo lazima nipone ugonjwa wangu Haijalishi umati wa watu mkubwa kiasi gani Haijalishi majirani nao wananitazama vipi Haijalishi marafiki nao wanasema nini Leo ni leo iwe isiwe lakini lazima nipone Haijalishi wanafiki nao eti watasema nini Wachawi sikilizeni leo ni leo lazima nipone Nitakwenda nitakwenda nitakwenda Nitapenya nitapenya, nitagusa pindo la Yesu nipone Mama, mama, mama, mama Ona leo unateseka wewe eti na magonjwa yako Yesu anapita leo anasema njooni kwangu Anapita mlangoni lakini umenyamaza kimya Anapita nyumbani kwako we na umenyamaza kimya Anasema njooni kwangu lakini umenyamaza kimya Umasikini umekuwa tatizo maishani mwako Magonjwa yamekusonga wala hujui wapi pa kwenda Wachawi wamekubebenya nawe hujui wapi pa kwenda Peleka magonjwa yako mwenzangu kwa yesu ili upone Haijalishi mpenzi wako wa zamani atasema nini Peleka mizigo yako kwa Yesu ili upone Usijali majirani eti nao watasema nini Usijali marafiki nao watakwonaje Mizigo ni yako Peleka kwa yesu upone Magongwa ni yako pelekakwa yesu upone Jipenyeze, jipenyeze, jipenyeze Jipenyeze, jipenyeze Gusa, gusa ale gusa, gusa Gusa pindo la Yesu upone Ah kamata pindo la Yesu (shikilia) Kamata pindo la Yesu (shikilia) Kamata usiachiye (shikilia) Kamata usimwache aende zake (shikilia) Kamata sawa sawa usimwache (shikilia) Aie, kamata pindo la Yesu (shikilia) Ale kamata kamata kamata Kamata kamata kamata kamata Pindo, shikilia Yesu akienda Jeriko (mng'ang'anie) Nasema (mng'ang'anie) Akienda Jerusalemu eh (mng'ang'anie) Usimwache (mng'ang'anie) Akienda Kaisaria (mng'ang'anie) Usimwache (mng'ang'anie) Nasema, ng'ang'ana v ng'ang'ana ng'ang'ana (mng'ang'anie) Usimwache (mng'ang'anie) Nasema, ng'ang'ana ng'ang'ana ng'ang'ana ng'ang'ana Twende Ale kamata kamata kamata Kamata kamata kamata kamata Pindo, shikilia We kamata pindo la Yesu usimwache aende zake Kamata pindo la Yesu shikiliya Shikiliya kwa mikono mwili kamata Kamata kabisa Aie ii, aie ii, aie ii, aie ii Ni nani mwana ume kama Yesu? Hakuna Anae weza kuponya magonja (hakuna) Anae weza kuokowa (hakuna) Nani mwana ume kama Yesu? Hakuna Nasema nani mwana ume kama Yesu? Hakuna Anae weza kufufuwa (hakuna) Anae ponya ndoa zilizo bomoka (hakuna) Anae ponya magonja sumu (hakuna) Anae komesha washawi wote (hakuna) Anae komesha wenye kiburi (hakuna) Ale kamata kamata kamata Kamata kamata kamata kamata Pindo, shikilia Aie ii, aie ii Ah iye, ah iye Jamani kwa Yesu (salama) ah iye (salama) Ukiwa kwa Yesu eh (salama) ah iye (salama) Mama, mama, mama, mama, mama ah iye (salama) Mama, mama, mama, mama, mama ah iye (salama) Peleka kwa Yesu eh (salama) Ah iye (salama) magonjwa yanapona ah iye (salama) Mama, mama, mama, mama, mama ah iye (salama) Mama, mama, mama, mama, mama ah iye (salama) Ah uoh (salama) Ah iye (salama) uchawi una koma (salama) ah iye (salama) Magonjwa yanapona kwa Yesu ah iye (salama) Ah iye (salama) ah ii (salama) ah ii (salama) Jamani kwa Yesu eh (salama) ah iye (salama) Salama kwa Yesu (salama) ah iye (salama)
Writer(s): Rose Muhando Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out