Lyrics

[Verse 1]
Nikiwa mbali na uwepo wa macho yako
Mimi mgonjwa siwezi pona
Nitatulia nikikuona aah, aah
[Verse 2]
Niwapo ubavuni mwako
Nadeka kama mtoto akiwa kwa mama
Nimetulia nikikuona aaah, aah
[Verse 3]
Tabia umenibadilisha
Pozi zote kwisha
Ujeuri ndio kabisa
Nimechange ii
[Verse 4]
Nahofia ukija nichoresha
Machozi sipati picha
Safari ukaikatisha
Huku sijiwezi
[PreChorus]
Najiona hodari
Juu ya penzi lako
Sina habari
Juu ya penzi lako
Nimeonja asali
Juu ya penzi lako
Najiona mbali
[PreChorus]
Najiona hodari
Juu ya penzi lako
Sina habari
Juu ya penzi lako
Nimeonja asali
Juu ya penzi lako
Najiona mbali
[Chorus]
Mtamu kama mua, mua, mua, mua
Game lako murua, murua, murua, murua
Mtamu kama mua, mua, mua, mua
Game lako murua, murua, murua, murua
[Verse 5]
Unavyonikanda na kunitua
We nigangue nikiugua
Unanifanya najishebedua
Ayee
[Verse 6]
Puliza marashi wapi mafua
Wanaopenda kudadavua
Sie tunapika na kupakua
Ayee ayee
[Verse 7]
Hatuna kelele
Tunaendana, endana
Mpaka milele eeh
Tutazikana
[PreChorus]
Najiona hodari
Juu ya penzi lako
Sina habari
Juu ya penzi lako
Nimeonja asali
Juu ya penzi lako
Najiona mbali
[Chorus]
Mtamu kama mua, mua, mua, mua
Game lako murua, murua, murua, murua
Mtamu kama mua, mua, mua, mua
Game lako murua, murua, murua, murua
Written by: OBRIZ BHB
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...