Lyrics

Sikiliza sindy nikuelezeee Yamoyoni nikutoe wasiwasi Sikiliza kipenzi mwenye sura ya upole Nimbembelezee ili nisiwe na wasi Sikiliza kisura Mwenye sifa ya upole Mwenye mapenzi hi hiii Ya kweli kwangu Kama shida mamy (kama shida mamy) Bas vumilia shida wewe Kama njaa sote tunashinda Kama shida haaa basi vumilia shida wewe Kama njaa, njaa tunashinda Haiwezekani (haiwezekani) hii Nikuache wewe hee Unaenipendezaa Niende kwa mwingine Haiwezikani hii Nikuache wewe Unaenipendeza Niende kwa mwingine Kidogo chetu mimi nawe Kikubwa cha baragu Mali zao zisifanye upagawe Kaniweka roho juu Kidogo chetu mimi nawe Kikubwa cha baragu Malio zisifanye upagawe Kaniweka roho juu Amini wewe ndio wapekee Niamini basi mimi Nimini basi mimi Niamini basi Usije niacha mpweke heee Nikaikosa nafasi kwako Nikaikosa nafasi mimi Nikaikosa nafasi Basi twende kwetu nyumbani Wakakuone wazazi nyumbani Basi twende kwetu chukua nauli Ikibidi tutaoana Nivumilie, nivumilie mamy Tabu zitakwisha baby Tabu zitakwisha Sijachoka kutafuta Nivumilie, nivumilie mamy Tabu zitakwisha baby Tabu zitakwisha Sijachoka kutafuta (haiwezekani) Haiwezekani (haiwezekani) Nikuache wewe (nikuache wewe) Unaenipendeza (unaenipendeza) Niende kwa mwingine (niende kwa mwingine) Haiwezekani (haiwezekani) Nikuache wewe (nikuache wewe) Unaenipendeza (unaenipendeza mamy) Niende kwa mwingine (haya wewe) Kama shida na njaa tabu na njaa Shida na njaa Kama tabu na njaa Yote majaliwa Kama shida na njaa tabu na njaa Shida na raha mama Kama tabu na njaa Yote majaliwa Nivumilie Nivumilie mamy Tabu zitakwisha baby wewe Tabu zitakwisha Sijachoka kutafuta Nivumilie nivumilie weeh hee Ewe mamy eeh eeh Ewe maaaah Bigtime production Komorye komorye Manzabay manzabay Haiwezekani hii (haiwezekani) Nikuache wewe (nikuache wewe) Unaenipendeza (unaenipendeza) Niende kwa mwingine (niende kwa mwingine) Haiwezekani hii (haiwezekani) Nikuache wewe (nikuache wewe) Unaenipendeza (unaenipendeza mamy) Niende kwa mwingine (haya wewe)
Writer(s): Kassim Mganga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out