album cover
Nikikupata
24,736
Music
Nikikupata was released on February 4, 2014 by Ben Pol as a part of the album Ben Pol
album cover
AlbumBen Pol
Release DateFebruary 4, 2014
LabelBen Pol
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM92

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Ben Pol
Ben Pol
Background Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Benard Paul
Benard Paul
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Ben Pol
Ben Pol
Producer

Lyrics

Maisha yangu mi'
'Meshafanya vingi na kukutana na wengi
Kama warembo nao
Nimeshakuwa na wengi ila sio siri umewazidi
Uzuri sio sura ma'
Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani

Nikikupata, milele nitafurahi
Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai
Nikikupata, milele nitafurahi
Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai
Heshima ya mapenzi, ubora wa mapenzi
Wawili kuaminiana
Heshima ya mapenzi, furaha ya mapenzi
Mi' na we' tukipendana
Na mi' ninaapa, kukupa thamani ya penzi unalopaswa
Kamwe sitofanya, kinyume na thamani ya pendo nikakosa
Uzuri sio sura ma'
Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani
Uzuri sio sura ma'
Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani
Nikikupata (oh), milele nitafurahi (milele nitafurahi)
Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai (mwisho wa uhai)
Nikikupata, milele nitafurahi (milele nitafurahi)
Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai (hadi mwisho wa uhai)
Maisha yangu mi'
'Meshafanya vingi na kukutana na wengi
Kama warembo nao
Nimeshakuwa na wengi ila sio siri umewazidi
Uzuri sio sura ma'
Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani
Uzuri sio sura ma'
Pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na imani
Nikikupata (oh), milele nitafurahi (milele nitafurahi)
Nitaimba nakupenda (nakupenda), hadi mwisho wa uhai (mwisho wa uhai)
Nikikupata, milele nitafurahi (milele nitafurahi)
Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai (mwisho wa uhai)
Written by: Benard Paul
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...