Music Video

Music Video

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Philip Munyao Mutuku
Philip Munyao Mutuku
Songwriter
Dennis Njoroge Wambui
Dennis Njoroge Wambui
Songwriter

Lyrics

Sa ntakusave na love emoji nitoe official name
Ni DM bila uoga juu licence ni pete
I've brought some boxes you can share with me, uache ku-visit uishi nami
Kufunguu nikutolee copy usizubae kwa gate
Vitunguu tutuoane ngozi uchew tujionyeshe
Si Valentine's nikueke archives pale kwa Tv, lazma uelewe you must be me
Kesho yetu usifanananishe na jana, lami na reli hazitoshani upana
Uchumi mbaya but I'll spend my today's with you
Leo iko na guarantee
Si ntakuita wangu kabla uitwe na Maulana
You are my rose but I'll still give you flowers
Ntakupenda sahii, na ka si sahii, ni sasa hivi
Written by: Dennis Njoroge Wambui, Philip Munyao Mutuku
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...