Music Video

Matonya - Vailet (Official Music Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Matonya
Matonya
Performer
Seif Shabani
Seif Shabani
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Seif Shabani
Seif Shabani
Songwriter

Lyrics

Watu walishachonga sana, eti Vailet simpati tena Na kuongea uzushi bwana, kwa kuona mambo yetu yananyooka Hata kiss na hug sipati, oh mama, baby Hata kiss na hug sipati, oh mama, baby Watu walishachonga sana, eti Vailet simpati tena Na kuongea uzushi bwana, kwa kuona mambo yetu yananyooka Hata kiss na hug sipati, oh mama, baby Hata kiss na hug sipati, oh mama, baby Mi' na huyu demu tunapendana sisi kila sehemu Mi' naye hatutoachana, kwenye shida na raha sisi tunapendana Ona tunapendana, mseme msemavyo tutazikana Mi' na Vai' hatutoachana, mbane mbanavyo tutazikana Mi' naye hatutoachana, wanaogombana wanapatana Nikikuudhi naomba unisamehe, kama kadi, "I'm sorry" mpenzi nikuletee Sema unachotaka, chochote unachotaka nitakupa mama Baby usiwe na pupa, usiwe kama fisi unataka mfupa Wewe Vailet amini we ndo my sweet heart Mi napenda unavyodeka, unavyocheka mwili unaweweseka Watu walishachonga sana, eti Vailet simpati tena Na kuongea uzushi bwana, kwa kuona mambo yetu yananyooka Hata kiss na hug sipati, oh mama, baby Hata kiss na hug sipati, oh mama, baby Watu walishachonga sana, eti Vailet simpati tena Na kuongea uzushi bwana, kwa kuona mambo yetu yananyooka Hata kiss na hug sipati, oh mama, baby Hata kiss na hug sipati, oh mama, baby Vailet njoo, Vailet usi-go Vailet usifanye chochote itakuwa soo Kwani mi mwenzako Tonya nakupenda sana Ziba masikio wanafiki watakudanganya Vailet basi usiwe na wasi' Ushanikataza na-stop kuvuta nyasi Kuna mazuri baby utakuwa huyapati Kipindi kile we utaponisaliti, eh Vailet we ndo keki wengine fake, mtamaniji huwa hariziki, eh Mi na wewe tu, we ndo wangu sister du Usiwe na makuu nasisitiza we ndo my boo Vailet usininyanyase mie, Vailet nini nikununulie (baby) Watu walishachonga sana, eti Vailet simpati tena Na kuongea uzushi bwana, kwa kuona mambo yetu yananyooka Hata kiss na hug sipati, oh mama, baby Hata kiss na hug sipati, oh mama, baby Watu walishachonga sana, eti Vailet simpati tena Na kuongea uzushi bwana, kwa kuona mambo yetu yananyooka Hata kiss na hug sipati, oh mama, baby Hata kiss na hug sipati, oh mama, baby Baby, mara, mara boo, mara, mara boo Vailet, Vailet ma', Vailet (Wabishi wote ndani ya sing hapa au sio) Vailet ma', Vailet mommy usinichukie
Writer(s): Brian Nguah Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out