Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Salmin Rashid Kassim
Salmin Rashid Kassim
Producer
Siraju Khamis Amani
Siraju Khamis Amani
Producer

Lyrics

Dangote baba lao (Baba lao), simba baba lao (Baba lao), Chibu baba lao (Baba lao), Mondi baba lao (Baba lao)
Eeh Zombie baba lao (Baba lao), Magufuli baba lao (Baba lao), Makonda baba lao (Baba lao), Wasafi chama lao
Ngoma kwa ngoma ni kopo koko, leo ndani twakesha popo
Waiter asambazia moko moko, moja baridi, moja moto
Mmechoka eti? (Aah! wapi), mnataka lala?? (Aah! wapi)
Tungi limezidi? (Aah! wapi), tuzime muziki?(Aah! wapi)
Twende kisamugile, sambamba, hapo vipi inabamba? Inogile inatamba, basi chanika musamba
Eeh! Wataweza kweli? (Aah! wapi), kushindana nasi? (Aah! wapi)
Hata wakiungana? (Aah! wapi), matusi kututukana? (Aah! wapi)
Dangote baba lao (Baba lao), simba baba lao (Baba lao), Chibu baba lao (Baba lao), Mondi baba lao (Baba lao)
Eeh Zombie baba lao (Baba lao), Magufuli baba lao (Baba lao), Makiembe baba lao (Baba lao), Wasafi chama lao
Hajib Selema, Adija Selema (Selema), Mondi nyangema, shimo ametema (Ametema)
Amefosi bifu mseleleko (Eeh! tumemkwepa), amebaki masononeko (Eeh! wanamcheka)
Kwanza kunja goti (Lee kunja goti), kisha vua shati (Eeeh vua shati), cheza kama monkey (Aii!), vunja ukidanki-danki
Eeh! Tumewachapa (Kidude), hakichomoki (Kidude)
Kimewanasa (Kidude), wanatapatapa (Kidude)
Chizi karogwa tena! Chizi, chizi karogwa tena eeh! Chizi karogwa tena! Chizi, chizi karogwa tena eeh!
Chizi karogwa tena! Chizi, chizi karogwa tena eeh! Chizi karogwa tena! Chizi, chizi karogwa tena eeh!
Dangote baba lao (Baba lao), simba baba lao (Baba lao), Chibu baba lao (Baba lao), Mondi baba lao (Baba lao)
Eeh Zombie baba lao (Baba lao), Magufuli baba lao (Baba lao), Majolica baba lao (Baba lao), Wasafi chama lao
Mzuka ukipanda na hili shati navua (Acha uongo), mzuka ukipanda na hili bukta navua (Acha uongo)
Jamani navua (Acha uongo), mama navua (Acha uongo), mwenzenu navua (Acha uongo)
Eeh! Kuna basata, basi napiga yope (Huwezi), ooh! Napiga yope (Huwezi), iyobo napiga yope (Huwezi), mi napiga yope (Huwezi)
Eh, eh, eh, eh, eeh, eh, eh, eh, eh, eh, eh, eeh
Tale napiga yope (Huwezi), mi napiga yope (Huwezi)
Momo napiga yope (Huwezi), fungwe napiga yope (Huwezi)
Eh, eh, eh, eh, eeh, eh, eh, eh, eh, eh, eh, eeh
Written by: Diamond Platnumz
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...