Music Video

Diamond Platnumz - Unachezaje (Official Music Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer
S2Kizzy
S2Kizzy
Producer

Lyrics

(Lady's and Gentlemen, now the moment you all) (Been waiting for, the world famous...) (Eeh) (Zonbie-yo) (Aka) Mfukoni nina kiti (mati) Mkunoni kai (mati) Nasikia kuna kiki (wapi) Niije kujimwaga (kati) (Chii) Oooh haitoshi, kalitaka Simba la baba kaletewa Oooh my gosh, sasa Kazima anataka kubebewa Oooh haitoshi, kalitaka Simba la baba kaletewa Oooh my gosh, sasa Kazima anataka kubebewa Nionyeshe unachezaje, unachezaje unachezaje Kwani unachezaje, unachezaje Unachezaje Nionyeshe unachezaje, unachezaje unachezaje Kwani unachezaje, unachezaje Unachezaje Ilikuwa mbili 4 4, pale pale (pale, pale) Dawa ya show show Nahisi lale (nahisi lale) Peleka vuta, taratibu sio kwa pupa Dereva shusha hapo, mbele Kwenye kuta Huu ni mti gani (wa Mchongoma) Ukiukata (haukatiki) Si ni mti gani (wa Mchongoma) Wakitukata (hatukatiki) Sasa waonyeshe unachezaje, unachezaje unachezaje Kwani unachezaje, unachezaje u Nachezaje Nionyeshe unachezaje, unachezaje unachezaje Kwani unachezaje, unachezaje Unacheza (Asa) Popolipolipopopopopolipolipola Popolipolipopopopopolipolipola Popolipolipopopopopolipolipola Waambie chombo (kinapepea) Eeh chombo (kinapepea) Huwaga chombo (kinapepea) Aah weeh Acha Aah weeh Huo mnazi (unakatika) Mnazi (unakatika) Mama mnazi (unakatika) Ona mnazi (unakatika) Ukitaka kukatika (hukatika) Kati kati (kati kah) Huo mjumba (unabomoka) Mjumba (unabomoka) Mama mjumba (unabomoka) Ona mjumba (unabomoka) Ukitaka kubomoka (hubomoka) Bobo bobo bobo bobo bobo boh (Kamix lizer)
Writer(s): Diamond Platnumz Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out