album cover
Nani
album cover
00:00
00:05
00:20
00:35
00:45
01:05
01:25
01:40
02:05
02:10
02:20
02:40
03:00
00:00
03:03
Past 7 Days
Nani was discovered most frequently at around 45 seconds into the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

[Verse 1]
Wanaosema wamekuzidi wamenizidi huu
Labda kusadiki na nyingi tattoo
Si wakuonjwa kuumizwa labda watemwe tuu
Wivu ugonjwa vindekeza vimeshushuka shuu
[Verse 2]
We ndo my boringo ukibinda niko hoi
Akiba yangu kibindo kamwe sikutoi
Ka wewe dereva mimi mtingo penzi letu roli
Niendeshe kwa maringo tusivange pori
[Verse 3]
Nyie popepea yangu mimi, nikifa ki mimi
Siwezi nyanyuka haibu natunaga chini
Sasa utoto ndio nini? kunishutua injini
Kama unanipa nipe mimi sipendi kuondoshewa chini
[Chorus]
(We bwana we) Niende kwa nani sangenya sa
Niende kwa nani asangenya asa
(Niendee) Niende kwa nani sangenya
Niende kwa nani asangenya asa
[Verse 4]
Embe dodo embe dodo (Eh)
Kimelala mchangani (Ah)
Limeoza so kidogo
Niko hoi tabani
[Chorus]
Iwe huba au virobo (Eh)
Kazi kwenyu kina nyani (Ah)
Maana hamnaga dogo
Walikula jibya gani
[Verse 5]
We ndo my boringo ukibinda niko hoi
Akiba yangu kibindo kamwe sikutoi
Ka wewe dereva mimi mtingo penzi letu roli
Niendeshe kwa maringo tusivange pori
[Verse 6]
Nyia popepea yangu mimi, nikifa ki mimi
Siwezi nyanyuka haibu natunaga chini
Sasa utoto ndio nini? kunishutua injini
Kama unanipa nipe mimi sipendi kuondoshewa chini
[Chorus]
(We bwana we) Niende kwa nani sangenya sa
Niende kwa nani asangenya asa
(Niendee) Niende kwa nani sangenya asa
(Ooh ati nikuache wewe) Niende kwa nani asangenya asa
Written by: Nasibu Abdul Juma Issaack, Salmin Kasimu Maengo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...