Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Penina Wambui
Penina Wambui
Background Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Meshack Bongo Salim
Meshack Bongo Salim
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Meshack Bongo Salim
Meshack Bongo Salim
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Hakuna wa kufanana na wewe
Hakuna wa kulinganisha na we
Hakuna wa kufanana na wewe na wewe
Hakuna wa kufanana na wewe
Hakuna wa kulinganisha na we
Hakuna wa kufanana na wewe Jire
[Verse 2]
Kwako sitoki sihami, we ndo my Savior my Daddy
Hakuna wa kufanana na wewe na wewe
Kwako sitoki sihami, we ndo my Savior my Daddy
Hakuna wa kufanana na wewe Jaire
[Verse 3]
Wengine wanafanana, wengine wanafwatana
Wengine wanashindana na wewe
Wengine wanafanana, wengine wanashindana
Wote hawana maana, ni wewe
[Verse 4]
Nnachojua we ndo uannijua
Umenijua kabla sijajijua hey
Umeondoa my pain
Sina hasara kwako nimegain
[Chorus]
Hakuna wa kufanana na wewe
Hakuna wa kulinganisha na we
Hakuna wa kufanana na wewe na we
Hakuna wa kufanana na wewe
Hakuna wa kulinganisha na we
Hakuna wa kulinganisha na nawe Jire
[Refrain]
Kwako sitoki sihami, we ndo my Savior my Daddy
Hakuna wa kufanana na wewe na wewe
Kwako sitoki sihami, we ndo my Savior my Daddy
Hakuna wa kufanana na wewe Jire
[Verse 5]
Uwe uwe Baba kwako nimepona
Nimepona, uwe Baba kwako nimepona
Uwe uwe Baba kwako nimepona
Nimepona, uwe Baba kwako nimepona
[Verse 6]
Na mapenzi yako kwangu napenda
Uongozi wako maishani napenda
We ndo unanifanya nikae town
We ndo unaniweka mjini
Maadui wote wanafrown, wameshindwa kuniweka chini
We ndo unanifanya nikae down
We ndo unaniweka mjini
Maadui wote wanafrown, wameshindwa kuniweka chini
[Chorus]
Hakuna wa kufanana na wewe
Hakuna wa kulinganisha na we
Hakuna wa kufanana na wewe na wewe
Hakuna wa kufanana na wewe
Hakuna wa kulinganisha na we
Hakuna wa kufanana na wewe Jire
[Refrain]
Kwako sitoki sihami, we ndo my Savior my Daddy
Hakuna wa kufanana na wewe na wewe
Kwako sitoki sihami, we ndo my Savior my Daddy
Hakuna wa kufanana na wewe Jire
Written by: Meshack Bongo Salim
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...