Lyrics

Najua uko nami,uko nami Najua uko nami wakati wa tsunami Najua uko nami,uko nami Najua uko nami wakati wa tsunami Kuna siku nakosea mmmmh Lakini kwako narejea aaah Na tuna andamwa na majukumu ghetto Wengi wakisema tutatoka ghetto Wengine wakisonga tuna baki ghetto Baba aah eeeih Nina Imani nita timiza ndoto Nirudishe mkono nibariki ghetto Iyeiyee nibariki ghetto Oooh noo mmmmh Niki ng'ang'ana na jua Kali Wengi waliona mi sifai Lakini Mungu wangu we haulali Baba eeeh iii Wewe ndio kusema na kutenda Wewe ndio unabariki bariki tu Wewe ndio una inua inua mmmh Baba eeeh iii Wewe ndio kusema na kutenda We ndio unapeana peana mh We ndio una bariki bariki tu
Writer(s): Ali Yusuf Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out