Vídeo musical
Canciones similares
Créditos
PERFORMING ARTISTS
Nandy
Performer
Billnass
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Faustina Charles Mfinaga
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Kimambo
Producer
Letras
Chocolate kalambaje?
Na hata sielewi kanipata pata
Kwani kanipata aje?
Ameniweza weza nimenata nata
Kwa jinsi nakupenda na nnashindwa kukukataa
Ndo ujinga huo
Umeniweza weza, umenipa limbwata
Ndo nini hivyo
Ukinipaga penzi basi pia zima data
Ndo chips hizo
Na vinyama nyama pilipili washa
Ndo tamu hivo
Baby walahi
Do me, do me, do me
Do me, do me, do me
Naandaa kiberiti niwashe moto
Baba leta ukuni
(Do me aii)
Do me, do me, do me (do me aii)
Do me, do me, do me (do me aii)
Naandaa kiberiti niwashe moto
Baba leta ukuni (do me aii)
Nafikiri uliumbwa kwa ajili yangu mahususi
Na kila nikikutazama nafaa nifikirie harusi
Nafikiri kutumia shela, nafikiri kuhusu suti
Sifikirii kutumia kinga, hata waseme una virusi
Viuno vingi kama Christian Bella
Peace ya msela
African princess na ndela
Tutawaarika na mapunga waje kula mchele
Si wanatoa siri za nyuma twawapa siti za mbele
Mapigo ya moyo mama yanakwenda mbio
Nisamehe kama napokwenda sio
Mapigo ya moyo mama yanakwenda mbio
Nisamehe kama napokwenda sio
Vile kata, kata ukapinda mgongo
Uliposema tangu ukawachanganya wabongo
Vile sikupakii mkenya wala sikupakii mkongo
Labda arushe matofali maana nishazoea madongo
(Do me aii)
Do me, do me, do me (do me aii)
Do me, do me, do me (do me aii)
Naandaa kiberiti niwashe moto
Baba leta ukuni (do me aii)
(True tell me ma, true tell me ma)
(Navurugwa eh, navurugwa eh)
(True tell me ma, true tell me ma)
(Navurugwa eh, navurugwa eh)
(Do me aii)
(Do me aii)
(Do me aii)
Do me, do me, do me (do me aii)
Do me, do me, do me (do me aii)
Naandaa kiberiti niwashe moto
Baba leta ukuni (do me aii)
(True tell me ma, true tell me ma)
(Navurugwa eh, navurugwa eh)
(True tell me ma, true tell me ma)
(Navurugwa eh, navurugwa eh)
Writer(s): Faustina Mfinanga
Lyrics powered by www.musixmatch.com