Letras

Blow me kisses whichever distance we zirushe Hata ka ni mbali nitaenda Mtu wako mbona anakondaga mbaya anawaza mbona Kila kitu chako napenda Blow me kisses whichever distance we zirushe Hata ka ni mbali nitaenda Mtu wako mbona anakondaga mbaya nawaza mbona Lakeside woman, lakeside woman Yoh nikibuy Vodka Whiskey ndo chaser Kuna line flani Munga nadai kurudia tena Nina deng'a kwa vip Rashid Echesa Hii ndio line siwezi kuwa mcooperative na tellers Mresh ameoga na haringi Naitwanga rasta mi sina ya bingii Corona virus na siko China Man nimekam thru na a simple like man Ulinifanya nithrive Nakupenda uko kwa mawazo siku hizi si rhyme Nilikupenda sana btw thanks After kukuwa my partner in crime Blow me kisses whichever distance we zirushe Hata ka ni mbali nitaenda Mtu wako mbona anakondaga mbaya anawaza mbona Kila kitu chako napenda Blow me kisses whichever distance we zirushe Hata ka ni mbali nitaenda Mtu wako mbona anakondaga mbaya nawaza mbona Lakeside woman, lakeside woman Mashallah girl you always on my mind You always on my mind You're beautiful smooth and kind Ma ukismile unakaa so fine Na mpenzi makerubi kaumbika na amejaza kama toli Mwisho wa mwezi, ayaya I hate and I love when you drive me crazy Cheza chini mama we sinanga we si razy Hananga maringo ako Kaloleni Hata umpeleke City Stadi si mchezi Wengine nitawatupa kama taka ndani ya begi Mami umenishanda na mapenzi kama vedi, peddy Blow me kisses whichever distance we zirushe Hata ka ni mbali nitaenda Mtu wako mbona anakondaga mbaya anawaza mbona Kila kitu chako napenda Blow me kisses whichever distance we zirushe Hata ka ni mbali nitaenda Mtu wako mbona anakondaga mbaya nawaza mbona Lakeside woman, lakeside woman Mashallah girl you always on my mind You always on my mind You're beautiful smooth and kind Ma ukismile unakaa so fine Na mpenzi makerubi kaumbika na amejaza kama toli Mwisho wa mwezi, ayaya I hate and I love when you drive me crazy Cheza chini mama we sinanga we si razy Hananga maringo ako Kaloleni Hata umpeleke City Stadi si mchezi Wengine nitawatupa kama taka ndani ya begi Mami umenishanda na mapenzi kama vedi, peddy Blow me kisses whichever distance we zirushe Hata ka ni mbali nitaenda Mtu wako mbona anakondaga mbaya anawaza mbona Kila kitu chako napenda Blow me kisses whichever distance we zirushe Hata ka ni mbali nitaenda Mtu wako mbona anakondaga mbaya nawaza mbona Lakeside woman, lakeside woman
Writer(s): David Munga Ramadhan Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out