Letras

Baby unani, baby unanibamba Ukisonga na hio, ukisonga na hio pattern Ju kila design unabanjuka unanibamba Naeza guza, eyo Metro suka doba Baby unani, baby unani, baby unanibamba Ukisonga na hio, ukisonga na hio pattern Ju kila design unabanjuka inanimada Naeza guza wapi ju vidole zinaniwasha Songa na hio, songa na hio Songa na hio pattern Songa na hio, songa na hio Songa na hio pattern Ju kila design unabanjuka inanimada Naeza guza wapi ju vidole zinaniwasha Songa na hio, songa na hio Songa na hio pattern Songa na hio, songa na hio Songa na hio pattern Songa na hio, songa na hio Songa na hio pattern Songa na hio, songa na hio Songa na hio pattern Kipusa ukibanjuka mi hubaki nimezubaa Kwanza jo ukishika ukuta na ukiwhine vile inafaa We ni softi na mang'aa we ni soshi we ni star We ni msafi kila saa, dunga croptop bila bra Titik tiktok ebu zungusha na ustop Chali yako analalisha ndo inafanya unanistalk Si ati nini si umeivisha nitakuingiza ndani box Twende chini katikati then unipeleke to the top Huh just a minute, nasema just a minute Kam nikupe kitu itafanya ukuwe chizi Amini usiamini sikuangi chali hivihivi Naeza gharamika we sema unataka nini Ka ni shots, pewa mzinga pewa Chaser never, after lewa Tamashani hakuna time ya kulemewa Na umetoa mpaka ndula kwani we ni cinderella Baby unani, baby unani, baby unanibamba Ukisonga na hio, ukisonga na hio pattern Ju kila design unabanjuka inanimada Naeza guza wapi ju vidole zinaniwasha Songa na hio, songa na hio Songa na hio pattern Songa na hio, songa na hio Songa na hio pattern Ju kila design unabanjuka inanimada Naeza guza wapi ju vidole zinaniwasha Songa na hio, songa na hio Songa na hio pattern Songa na hio, songa na hio Songa na hio pattern Songa na hio, songa na hio Songa na hio pattern Songa na hio, songa na hio Songa na hio pattern Songa na tembo fanya tembo inakazana Mrembo ushaiskia tembo inabebana na banana Babe ukiniita kwako sidelay nafika jana Boy wako akule vako hii relay haiwezi fanana Kuna vile nashangaa ukienda chini siamini Ju kwanza vile unakaa mi sielewi uko na nini Umeniteka nimezubaa na mi sijui ka ni majini Nakufuata very loyal ni kama mi ni wa dini Riswa ni mashetani ni ka umenilaani Riswa, kitabu gani Biblia ama Kurani Piswa, nagutuana na figa ni mtihani Ni ka naugua mapepo na we ndo kuhani Kuna mtu, kuna mtu leo analala ndani Si unajua kuna vitu, kuna vitu mbili haziachani Ndovu kuu na msitu, na msitu si unajua ni gani Aki walai mbio za nyani leo zinaishia jangwani Baby unani, baby unani, baby unanibamba Ukisonga na hio, ukisonga na hio pattern Ju kila design unabanjuka inanimada Naeza guza wapi ju vidole zinaniwasha Songa na hio, songa na hio Songa na hio pattern Songa na hio, songa na hio Songa na hio pattern Ju kila design unabanjuka inanimada Naeza guza wapi ju vidole zinaniwasha Songa na hio, songa na hio Songa na hio pattern Songa na hio, songa na hio Songa na hio pattern Songa na hio, songa na hio Songa na hio pattern Songa na hio, songa na hio Songa na hio pattern Songa na hio pattern Songa na hio tempo Haga ndo inamatter Sura achia warembo Design ya kamati, utadhani ni msee wa mjengo Nguvu za cassava umezoea watu wa potato Mundu stamina stamina mwaga jasho kwanini Chupa zamina zamina ka Shakilla na mimi Mi si ndwanzi na sikuangi na kujijocha lakini Naeza tandika tandika hata kokoto na chini aii Usiwache ngozi ya rangi ikudanganye Lightskin but nacheza kama Ngolo Kante Nijipate nikilalisha haijai happen Machette lazima istay sharpen Niko ready kukatakata madranya Nafanya vile nataka Nasanya madem manyanga vile paka husakanya panya Mafala mnang'ang'ana kuchanga mshike guarana Si ni madon Perion tunamwanganga Songa na hio, songa na hio Songa na hio pattern Songa na hio, songa na hio Songa na hio pattern Ju kila design unabanjuka inanimada Naeza guza wapi ju vidole zinaniwasha Songa na hio, songa na hio Songa na hio pattern Songa na hio, songa na hio Songa na hio pattern Songa na hio, songa na hio Songa na hio pattern Songa na hio, songa na hio Songa na hio pattern
Writer(s): Christopher Githara Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out