Letras

Eh haha Eti naskia nyi hupenda kuchocha, sindio? Acha tuchoche basi (Big shout-out to Vinc on the beat by the way) Kama huna noti na kuna dem umenoki anakuuliza ka uko na moti, chocha Rent hujakanja Landy ashakupa notice Lakini umegoma hautoki, chocha Forex unaosha bila copy, chocha Ocha wanajua wee ni doki, chocha Mbogi wanasema wee ni bosii, chocha IG hauwezi cheza low-key, chocha Check it it's omollo once again na injili wanapenda Other than rapport bado ni mwili ninajenga Doba napiga buda mithili ya benga Popularity imefanya nibadili mamrenga Bad mind kisirisiri anatengwa An omollo feature ni ka firifiri kwa demba Cheki ule boy wa chili chili analengwa Backup ya ma label ka Mekatilili Wa Menza Ukijibizana mtaa itakudhuru Ukibishana naku-tax ushuru Mlibanja sana hamtaki Uhuru Sahi imebamba sana wapi nduru Ehh hatuendi maandamano Baba inta-maintain kanyo kanyo Mr president ongeza mwika tano Na nyi wakenya lazma mkuwe na msimamo Kama huna noti na kuna dеm umenoki anakuuliza ka uko na moti, chocha Rent hujakanja Landy ashakupa notice Lakini umеgoma hautoki, chocha Forex unaosha bila copy, chocha Ocha wanajua wee ni doki, chocha Mbogi wanasema wee ni bosii, chocha IG hauwezi cheza low-key, chocha Ndo upate views ubaki ndethe u may earn more A Genge grammy tungeletewa na kansoul Sahi kenya ni ka hakuna reggae ama dancehall Ndo konshens ako ju ya ngwete hapo Sanford We ball on a budget strictly Hatupendangi burden sisi Oyole ilifanya nijue ku-bargain fiti Free park ndo only reason niko garden city If they charge me na tailgate mr partel Vibes tu hauwezi taka beef na cartel I had tu-make a choice either streets ama cell Ju mtaa sikuizi maboiz wana-snitch na lapel The new definition of kidungi Umejipin? Ehh wee ni fundi? Wee ni gangster? Uko na kikundi? Shut the fuck up bro-olundi Hehe mna-glorify chocha Mumearibu mziki mnafanya hii job haikai mboka Hii story haikai proper Boy child anakapitia coz sahi hatujui ka Tory atawai toka Bloggers hawa-verify story Tu all victims wako terrified sorry Chocha imedu hii game ikae boring Na nyi mpasho bitch i hope you die slowly- bombo Kama huna noti na kuna dem umenoki anakuuliza ka uko na moti, chocha Rent hujakanja Landy ashakupa notice Lakini umegoma hautoki, chocha Forex unaosha bila copy, chocha Ocha wanajua wee ni doki, chocha Mbogi wanasema wee ni bosii, chocha IG hauwezi cheza low-key, chocha Buda kila kitu chocha Chocha chocha Kila kitu chocha Chocha chocha Ah
Writer(s): Khaligraph Jones, Alvin Handro Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out