Letras

Oohhhhhh mhhhhhhhh mhhhhhhhh Nimezipata salam sasa nakupa majibu Siogopi mwanadamu namtegemea wa haki Nimezipata salam sasa nakupa majibu Siogopi mwanadamu namtegemea wa haki Nakula nakula nalala kwanguuu uniii Unitishiee kwa lipiii hujuiii Huijuii hatima yangu kivyovyote Kivyovyote sikuogopii Nashukuru napumua napata oxygen Mola ananijaaliaa Hauwezi kuvitibua alivyopanga mananii Embu wacha kujisumbuaaa Ooooooooohhhh mhhh oooohhh Kiganjani huenei jeuri yatoka wapii Punguza ugai gai nikuogope kwa lipiii Kiganjani huenei jeuri yatoka wapii Ooh Punguza ugai gai nikuogope kwa lipiii Nisile nisinywe maji kwa maneno yako tuu Kuogopwa nikipaji na sio kwa kila mtuuuuuu Ooh oooohhh nisile nisinywe maji kwa maneno yako tuu Kuogopwa nikipaji na sio kwa kila mtuuuuuu Hilo usilitarajiii Namuogopa Mungu tuuu Yeye ndio muumbajii nampaji wa kila kituu Hiilo usilitarajiii Namuogopa Mungu tuuu Yeye ndio muumbajii nampaji wa kila kituu Ooooooooohhhh Ooooooooohhhh Ooooooooohhhh Unanipangu pakavu ulivyo haujijuii Usinipime ubavu milele haunisumbuii Ahhh unanipangu pakavu ulivyo haujijuii Oooh usinipime ubavu milele haunisumbuii Oooh ilo unaloivuniaaa pumzi ya kwake Mungu uuuh Hata nami napumua niondolee kiwingu Ilo unaloivuniaaa pumzi ya kwake Mungu uuuh Hata nami napumua niondolee kiwingu Wewe nani umekuwa wa kuogopwa ni Mungu uuh Yeye ndio anae toa ridhiki yako na yangu Ooh wewe nani umekuwa wa kuogopwa ni Mungu uuh Yeye ndio anae toa ridhiki yako na yangu Mizigo uliojitwisha mengine si kazi yakoo Sikazi yako si kazi yakooo Hauna wa kumtisha nilipo na Mungu yupo Wapo wasio kuogopa sio mimi hasilani Madaraka unajipa kwani umekuwa nani Huu ni uhondo wa wakali wao 2022 chukua hiyoo chini yake Thabit Abdul Wapi salma said mama arishad kikos kazi wakali wao Wameshindwa walio anza utaenza kitu ganii Kitambo nimekukuza haujai kiganjanii Aaaah nuna na ujivimbishe sikosi ridhiki yangu Nani ata unitishe wewe kiumbe mwenzangu Hao hao watingishe sijali nafanya yangu Wameshindwa walio anza utaenza kitu ganii Kitambo nimekukuza haujai kiganjanii Ohh huwai kulizuia aliloandika mananiii Tena inauma ninajua lakini ufanye nini Soote tunategemea mwenzangu una nini Wameshindwa walio anza utaenza kitu ganii Kitambo nimekukuza haujai kiganjanii Mkombozi records
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out