album cover
Do Salale
81.635
Music
Do Salale fue publicado el 18 de agosto de 2023 por Ziiki Media como parte del álbum Do Salale - Single
album cover
Fecha de lanzamiento18 de agosto de 2023
SelloZiiki Media
Melodicidad
Acústico
Valence
Bailabilidad
Energía
BPM114

Créditos

PERFORMING ARTISTS
Phina
Phina
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Sarah Michael Kitinga
Sarah Michael Kitinga
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
S2Kizzy
S2Kizzy
Producer

Letras

[Chorus]
Doh salaleh
Nimeachwa
Doh doh nimepigwa kibuti
[Verse 1]
Eti kisa jana nililala na nguo
Anataka mapenzi kwa mkupuo
Anasema sijui kuhandle nikajifunze chuo mmh nimeachwa
Ananitesa nampenda japo rangi yake ka jaluo
Asubuhi mchana usiku mizagamuo
Mi siwezi nimeachwa
[PreChorus]
Natamani nilewe
Ila sa nikilewa pombe nazo zinashuka chini
Nami sina wa hubani nitafanya nini
Yalah weh
[Chorus]
Doh salaleh
Nimeachwa
Doh doh nimepigwa kibuti
Doh salaleh
Nimeachwa
Doh doh nimepigwa kibuti
[Verse 2]
Hayana urafiki mapenzi (Ooh mapenzi)
Hayana ushikaji mapenzi (Ooh mapenzi)
Magodoro yamelowana
Hayana afadhali mapenzi (Ooh mapenzi)
Huku wangu sio shwari mapenzi (Ooh mapenzi)
Magodoro yamelowana
Ndani apalaliki
[PreChorus]
Natamani nilewe
Ila sa nikilewa pombe nazo zinashuka chini
Nami sina wa hubani nitafanya nini
Yalah weh
[Chorus]
Doh salaleh
Nimeachwa
Doh doh nimepigwa kibuti
Doh salaleh
Nimeachwa
Doh doh nimepigwa kibuti
Doh salaleh
Written by: Sarah Michael Kitinga
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...