Letras

Vic twendee Yeah (Badness) Yeah yeah Fathermoh si unifnze kukatiana Me humcheki from a far distance Nikona macho namfinyia ita na Akifika ni majokes laughter ah Uongo na vile we hukuwanga boring kuruka Ukitaka kucheka si uvae biker We mpuzi ndo uskie upelekwe na rada Izaa Alafu nampeleka kichuom Ai inda Unamtolea kimoshi kindom Kiwake kiwake kimuo Anakupea down chini juu na back Irachu ama? Me huzame ina Ni Mkamba? Huyo kwanza ndo tam kuruka Na Mluhya? Anakulisha vyote unalamba sahani unaskia buda umeshiba Beshte yangu hukuanga pedi Beshte Beshte yangu husunda velo Beshte Beshte yangu ni wa fwaka baridi kidogo Dunhill na jaba Beshte yangu hupenda waschana Beshte yangu hutekana bana Beshte yangu hupenda jaba Akipata kitemeo anaipiga sana Harrycraze unajua sionjangi madre Kuna jaba mi huona tu kwa baite Na vile taxin huboo kaa nonsense Ndo ushike jaba huhitaji license Eeehh Satarter na gomba polite Sunda kavelo zirunde usocialise Mmhh Tei lazima ubaptize,mzinga ikiisha ikuje mara ya twice Beshte yangu hukuanga pedi Beshte Beshte yangu husunda velo Beshte Beshte yangu ni wa fwaka baridi kidogo Dunhill na jaba Beshte yangu hupenda waschana Beshte yangu hutekana bana Beshte yangu hupenda jaba Akipata kitemeo anaipiga sana
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out