Letra

Kama upepo pepea kunifata mimi shoga ee Na kama bifu nmebobea hata uende kuroga eeh Na maneno unaongea kumbe una nguvu za soda Eeh kazi kunisema kwa watu ukiniona unazuga eeh Kugombana na mm bado naona km unanuka baba bado Facebook twitter huzijui bado ata insta live huijui bado Unapenda jinadi kujikuta unajua kumbe mambo bado Achana nami mwenzio long time mpaka leo gado Jini kisirani We ni jini kisiran Yanakupanda we ni jini kisirani Wakikugusa yanakupanda eeh Wakikuchokonoa eeh yanakupanda Jichungeee usifate zangu nyayo ukifata zangu nyayo utapiga sana miayoo Kwnza unanionaje kila siku mm ninapanda bei Unachunda we ntantarira zako zitakuponza wee Badamu batamwagikamwagika na utazoa mwenyewe Ukizileta zitapangikapangika nikuache upangue (mwenyewe) Kugombana na mm bado naona kama unanuka baba bado Facebook twitter huzijui bado Ata insta live huijui bado Unapenda jinadi kujikuta unajua kumbe mambo bado Achana nami mwenzio long time mpaka leo gado Jini kisirani We n jini kisirani Wakikugusa yanakupanda eh Wakikuchokonoa yanakupanda eh Jini kisirani Jini kisirani We ni Jini kisirani
Writer(s): Lugendo Kileo, Lulu Mkongwa Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out