album cover
Information
36,969
Rap
Information fue lanzado el 20 de diciembre de 2023 por EMC como parte del álbum Information - Single
album cover
Más popular
Últimos 7 días
00:55 - 01:00
Information se descubrió con más frecuencia alrededor de 55 segundos después la canción durante la última semana
00:00
00:25
00:40
00:45
00:55
01:05
02:40
00:00
03:13

Video musical

Video musical

Letra

[Intro]
Did your mama not tell you, don't go play outside
When the weather is bad?
[Verse 1]
Usipolala macho hauna chako umeuwawa
Ukikimbia battle we sio commando ni coward
Huku kina cha bahari umezoea kuoga kwenye bwawa
Huku umekuja sayari haina kunguni haina chawa
Utapagawa manyanga madawa
Ni Mungu anagawa ndio anayenipa power
Tuko kwenye rush hour, kutoka bila shower
Kula bila kunawa
[PreChorus]
Ukijifanya rude mimi mwenyewe nimepinda jambazi maksudi
No cash no food baba utakula hiyo attitude
Ukiniletea mood mimi ndio napendaga sana very good
No cash no food hapa utakula hiyo attitude
[Chorus]
Oyaa we si unataka information w.w.w download application
Si unapenda penda kujua inavyokwenda situation
Ok w.w.w download application
Oyaa we si unataka information w.w.w download application
Si unapenda penda kujua inavyokwenda situation
Ok w.w.w download application
[Verse 2]
Radio imemeza kanda hawana nyimbo washasanda
Kitumbua kimeingia mchanga mbona wata watabamba
Proper propaganda mara kimeshuka kimepanda
Kuleta pigo za kishamba moto moto pamba puh
[PreChorus]
Ukijifanya rude mimi mwenyewe nimepinda jambazi maksudi
No cash no food baba utakula hiyo attitude
Ukiniletea mood mimi ndio napendaga sana very good
No cash no food hapa utakula hiyo attitude
[Chorus]
Oyaa we si unataka information w.w.w download application
Si unapenda penda kujua inavyokwenda situation
Ok w.w.w download application
Oyaa we si unataka information w.w.w download application
Si unapenda penda kujua inavyokwenda situation
Ok w.w.w download application
Written by: Shariff Thabit Ramadhan
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...