Crédits

INTERPRÉTATION
Jux
Jux
Chant
Rayvanny
Rayvanny
Chant
COMPOSITION ET PAROLES
Rayvanny
Rayvanny
Paroles/Composition
PRODUCTION ET INGÉNIERIE
S2Kizzy
S2Kizzy
Production

Paroles

[Intro]
Lala, lala-lala (Vannyboy)
Lala, lala-lala (S2keeyz baby)
[Verse 1]
Nawaza usingetokea ningeongea nini leo
Bila ya penzi lako 'nge-enjoy nini leo
Imekuwa bora alivyopotea ukatokea wewe leo
Tena bila huruma yako ningetamba wapi leo
[Verse 2]
Kwenye baridi nikukumbate upate joto
Twende kwa bibi atupe baraka tuzae watoto eh ye ye
Ngozi laini mtoto sop-sop, tumbo la kuvalia croptop
Vanessa wa nini we don't talk-talk, sitaki shobo nishablock-block
Iyee
[Chorus]
Lala, la, la-lala-lala (Lala kifuani)
Lala, la, la-lala-lala (Kichuna ng'ang'a usinzie)
Lala, la, la-lala-lala (Nibembeleze nikuimbie)
Lala, la, la-lala-lala (La la la)
[Verse 3]
Nikimwita sukari ananiita asali, lamba lamba, pipi
Kuku mwenye kidari shepu ngangari ya kuvunja kiti
Kanifunika mbawa za upendo wake hunibeba kwenda juu
Wakimponda sawa, hawajui ndio nazidi kumpenda
[Verse 4]
Usiku kwenye kimvua-mvua tukivua-vua zima taa jilaze kwenye kifua
Unanijua-jua nnakujua-jua massage ya mafuta nikikuchua
Ngozi laini mtoto sop-sop, tumbo la kuvalia croptop
Fayma wa nini we don't talk-talk, sitaki shobo nishablock-block hee
[Chorus]
Lala, la, la-lala-lala (Lala kifuani)
Lala, la, la-lala-lala (Kichuna ng'ang'a usinzie)
Lala, la, la-lala-lala (Nibembeleze nikuimbie)
Lala, la, la-lala-lala (La, la, la)
[Chorus]
Lala, la, la-lala-lala (Lala kifuani)
Lala, la, la-lala-lala (Kichuna ng'ang'a usinzie)
Lala, la, la-lala-lala (Nibembeleze nikuimbie)
Lala, la, la-lala-lala (La, la, la)
Mhh, la, la, la
Written by: Rayvanny
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...