Paroles

EMB record Ooh! baby dance dance like that Baby dance dance like that Ooh! baby dance dance like that Dance like that Umeniteka oh my my my Ukiondoka nitadie die die die Napenda kitumbua chai chai chai chai Nimekupa mbawa fly fly fly Urembo wako oooh. Nikikuona inadunda roho Tabasamu lako oooh. Sijiwezi umenikaba koo What can I do...,without you..., baby boo uuh! uuuh! Ni wewe tu..., barafu...,beautiful uuuh... (Eeeh) Nampenda huyu, ataniua huyu Kiboko yangu roho yangu huyu Tamu yangu huyu Nampenda huyu ataniua huyu Kiboko yangu roho yangu huyu Tamu yangu huyu Baby dance dance like that Baby dance dance like that Ooh! baby dance dance like that Dance... like that Ooh! baby dance dance like that Baby dancе dance like that Ooh! baby dance dancе like that Dance... like that Nipe... baby, mapenzi ya Tanga Huko kunani Are you... ready,niko na mbawa tupae angani Ati moyo wangu mimi umekumbwa na kitu gani Yaani siwezi bila ya wewe maishani Hizi hisia... kama utamu sukari guru Nishakuwa sijiwezi acha tu nipige nduru Hizi hisia... kama tamu utamu sukari guru Oooh penzi juu ya mapenzi yanawaka kama nuru Baby ooohh Nampenda huyu ataniua huyu Kiboko yangu roho yangu huyu Tamu yangu huyu Nampenda huyu ataniua huyu Kiboko yangu roho yangu huyu Tamu yangu huyu Baby dance dance like that Baby dance dance like that Ooh! baby dance dance like that Dance like that Ooh! baby dance dance like that Baby dance dance like that Ooh! baby dance dance like that Dance like that Oooh waah! aaaa! Oooh waah aaaa! Simuachi Sitaki Huu utamu wa mapenzi Ntaupata wapi? Simuachi Sitaki Huu utamu wa mapenzi Niende wapi?
Writer(s): Raymond Shaban Mwakyusa Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out