Paroles

Your juice, your swagg Show me everything that you've got Your juice, your swagg Show me everything that you've got Your juice, your swagg Show me everything that you've got Your juice, your swagg Show me everything that you've got Si lazima nikuonyeshe ma x ma Sitozima ukinionyesha matxt zao Nijue vile wanakutamani ka pilau Nitie akili nisije kujisahau Niitie mapenzi ya ndoa uzae Utie mahaba ya Tanga nikae Niitie matunzo ya ghali ung'ae Kuanzia misingi mpaka vigae Mezani menu ni viu kudivai Na sio December ndo kuanza July Tunaojilipa ndo tunajidai Joh mi ni rapper wa suti na tie Turn on the light, turn off the light Shawty am a star you can see in the dark Baby sitoki njia kuu, baki njia kuu Nipandishe bei sitaki unafuu Najua uko na option nyingi Ila uko na mi kwa sababu za msingi Kina Joh yuko na mambo mengi Ila yu nawe kwa sababu za msingi Penzi haliwezi likawa kauka nikuvae baby Ulishatunga nawe nguo yangu nivae mwilini Penzi haliwezi likawa kauka nikuvae baby Ulishatunga nawe nguo yangu nivae mwilini Hapana hapana chezea, hapana chezea Hapana hapana chezea, hapana chezea Hapana hapana chezea, hapana chezea Hapana hapana chezea, hapana chezea Eey twendelee kila mikato high class Vitendo ni upendo na tendo ni nafasi Mi sichangii maana hiso kiti cha pasi Tusiende kwa miti kabla ya miticlass Twende kwa Mungu kisha ndo kwa wazazi Nipende kwa moyo ndo uje kwa mavazi Pale pa kushuka ndo tunapenda ngazi Ambia hawawezi mumeo jambazi Nina pistol nina Kristo Kama papa benedicto, kuna mema na mapito Mepesi na mazito, shinda yote tuvuke mito Una nia nina wito, say no more shawty, finito finito Your juice, your swagg Show me everything that you've got Your juice, your swagg Show me everything that you've got Your juice, your swagg Show me everything that you've got Your juice, your swagg Show me everything that you've got Hapana hapana chezea, hapana chezea Hapana hapana chezea, hapana chezea Hapana hapana chezea, hapana chezea Hapana hapana chezea, hapana chezea
Writer(s): Faustina Charles Mfinaga, John Simon Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out