म्यूज़िक वीडियो

में प्रस्तुत

क्रेडिट्स

PERFORMING ARTISTS
Evelyn Wanjiru
Evelyn Wanjiru
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Evelyn Wanjiru
Evelyn Wanjiru
Composer

गाने

Tunakuabudu tunakuabudu tunakuabudu Mwenye enzi ×2 Tunainama mbele zako tukikusujudu maana wewe ni mtakatifu wa watakatifu (CHORUS) Tunanyenyeke mbele zako Nikisema wewe ni mtakatifu wa watakatifu ninakusujudu baba (CHORUS) Uko hapa bwana yesu uko hapa bwana yesu ×2 Mwana wa mungu simba wa yuda, umetawala uko apa Oooh imbia yesu anayenipigania Oooh imbia yesu anayenipigania ×3
Writer(s): Evelyn Wanjiru Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out