गाने

Nilizoea sana kukaa nyumbani Nikawaga sijui mambo club Yanakuwaje Kule na huko huku na huko Wanangu asubuhi wana amkaga Na mabebe I said let me go Let me try Cz i wanna know Kwanini wang'ang'anie What makes them go everyday Nikajiona fala Kwanini nilipendaga kulala lala Mi ni mtu wa kwaya Ila club mara moja moja Siyo mbaya Leo hii nimekuwa gwiji Club bar zote nashinda mimi Nakesha na watoto wa mjini Wavaa vibikini utambia nini Leo nimekuwa gwiji Club bar zote nashinda mimi Nakesha na watoto wa mjini Wavaa vibikini Jamani mziki ni mtamu Nyie club kunanoga Na kuna vitoto vikaleeee Ndo kinachonichanganya Siku moja nimetoka kumoka Akili ikanituma nikaruke tu Majoka Nikakutana na toto la sniker Kumbe kwao fresh baba ni zee la Moka I was like how are u Can u dance with me right now She said that Yes i do Come and dance with me right Now Wakati nataka kuondoka Kurudi nyumbani Si nikajikuta sina hata mia Kitoto si kikaropoka Twende hotelini Shika key endesha sijui hata njia Nikajiona fala Kwanini nilipendaga kulala Mi ni mtu wa kwaya Ila club mara mojamoja Siyo Mbaya Leo hii nimekuwa gwiji Club bar zote nashinda mimi Nakesha na watoto wa mjini Wavaa vibikini utambia nini Leo nimekuwa gwiji Club bar zote nashinda mimi Nakesha na watoto wa mjini Wavaa vibikin Jamani Mziki ni mtamu Nyie club kunanoga Na kuna vitoto vikaleee Ndo kinachonichanganya
Writer(s): Frank Ngumbuchi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out